TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

Mnyororo ni mrefu, ukiona mfanyabiashara katoa hela ujue ni 1/3 ya kiasi halisi alichopaswa kutoa huko, 1/3 atalipa tra, na 1/3 itabaki kwake... Win Win situation...
 
Tra wana mikopo mikubwa sana na aina ya kaxi yao wana posho za kusafiri sana .rushwa sisemi hazipo ila sio kiivo.unataka uwe halmashauri uwe sawa na bot
Nikweli.. but kuna gape kubwa sanaa ya salary, kuna baadhi ya sekta hawana posho.. Af kuna wengina posho wanajiandikia tu wakiishiwa pesa ya bia... Tz hakuna usawa mkuu..
 
Nikweli.. but kuna gape kubwa sanaa ya salary, kuna baadhi ya sekta hawana posho.. Af kuna wengina posho wanajiandikia tu wakiishiwa pesa ya bia... Tz hakuna usawa mkuu..
Kuna faida za kuishi masaki hazipo mbagala.pia kwako kuna faida anapata uzao wa kwanza hampati ninyi wengine.tuanxie kwako na mkeo
 
Nikweli.. but kuna gape kubwa sanaa ya salary, kuna baadhi ya sekta hawana posho.. Af kuna wengina posho wanajiandikia tu wakiishiwa pesa ya bia... Tz hakuna usawa mkuu..
Ukiweka mshahara kama halmashauri kesho pia wenye grade juu vyuo hawataaply tra
 
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba

Kumiliki billion si kazi rahisi. Wengi wao pale wana maendeleo ya kati. Nyumba na gari, akienda sana ghorofa mbili kwenda juu na viwanja. Si maendeleo ya kutisha
Usiwakuze kihihivyo sanaa
 
kwa urefu wa kamba, isizidi tu kamba
Nadhani wengi hawakufamu nini maana ya kula kwa urefu wa kamba.
Kamba ni sheria au mkataba wa kazi. Na urefu ndio mshahara na marupurupu yake, na urefu huwa tofauti kwa nyadhifa tofauti.
Sasa mtu anapoambiwa ale kwa urefu wa kamba ni kuwa achukua kwa uzio wa mkataba wake wa kazi. Asifanye njia ingine akala nje ya uzio au asijirefishie kamba.
 
Kuna jamaa yupo hapo bandari mwana anapiga aiseee ana shusha magorofa tu [emoji23] uku anasemaa hawamu hii ikipitaa ijayo haijulikan itakuwajee hvyo acha tupigee tu .

Anakauli yake ya mama anaupiga mwingi..
TPA na TRA
Wanakulaa maishaa tyuuuh
 
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
Na wote ni wanaccm.
 
Kuna jamaa yupo hapo bandari mwana anapiga aiseee ana shusha magorofa tu [emoji23] uku anasemaa hawamu hii ikipitaa ijayo haijulikan itakuwajee hvyo acha tupigee tu .

Anakauli yake ya mama anaupiga mwingi..
Mbona akina Kakoko walipiga awamu ya Magu?
 
Kumiliki billion si kazi rahisi. Wengi wao pale wana maendeleo ya kati. Nyumba na gari, akienda sana ghorofa mbili kwenda juu na viwanja. Si maendeleo ya kutisha
Usiwakuze kihihivyo sanaa
Hayo sio maendeleo ya kutisha? Tena hapa Bongo?
Hebu kuwa serious bas
 
Polisi kuna vitengo vingi ambavyo vina hela TRA wanasubiri

polisi wa kawaida tu mwenye elimu ya form 4, traffic barabarani ana uhakika wa kutengeneza hela kila siku ambayo mtu mwenye elimu kama yake TRA haitengenezi.

sasa jaribu kuwaza ma bosi wa Polisi wanatengeneza kiasi gani

umeshawai kuwaza wale mapolisi watoa leseni za madereva mapato yao ya kila siku
 
ukiona kijana miaka 30 ni tajiri na alipoteza muda darasani either MWIZII au HELA ZA KURITHI
Alipoteza muda darasani lazima awe kamwotea kanji parefu, mwizi, muuza ngada, biashara za magendo, pesa ya mbumba kama ginimbi na pesa za urithi.
 
Ngoja wale ndugu zangu pale uchaggani waje mwezi wa 12 niwaombe hata pesa ya soda, ila wale mafala wanaye pesa mbwa kabisa....... wake zao eti wanatembelea bmw......wao sasa range, landrover discovery.

Uchaggani nikifika napendaga kujifungia staki dharau dharau, kusaidia kushusha mabegi kwenye boot za watu na sehemu wamekaa wanakunywa hennesy na JD zao wanavimaswali uchwara 😅😅😅😅
 
Miaka 26 huna familia, unamshahara above 2m, Saccos ya ofisi inakukopesha mara 20 sijui 25 ya mshahara wako kwa makato ya 5 years makato ni kidogo kidogo. Hapo kuna overtime, kazi za nje ya mikoa pengine kuna allowance za mafuta, makazi na bonus za hapa na pale.

Ugumu wa maisha unatoka wapi?
Unanenepa unapasuka.
 
Back
Top Bottom