TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

Kuna jamaa yupo hapo bandari mwana anapiga aiseee ana shusha magorofa tu [emoji23] uku anasemaa hawamu hii ikipitaa ijayo haijulikan itakuwajee hvyo acha tupigee tu .

Anakauli yake ya mama anaupiga mwingi..
Kwenye awamu iliyopita vijana wengi wa TPA waliingia matatani. Wengine hadi leo kesi zinaendelea
 
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
Hawa jamaa ni majizi yaliyovaa ngozi ya kondoo! Hawa jamaa ni wahujumu uchumi namba moja! Hawaendi mbinguni hawa jamaa wa TRA
 
hao ni masikini tu,una uhakika mali walizochuma baada ya kustafu zitaendelea kuongezeka? au ndoile zinauzwa hovyo na kutaifishwa na mabenki ,hatimaye na wamiliki kukimbilia vijijini? .hao ni masikini bilionea. mtu mwenye uwezo wa kuzalisha milion kazaa na kuwa bilion huyo ndo bilionea tajiri.we sema tu hao wanamiliki ukwasi tu ila sio maTajiri
Well said begi la pesa Mali ya dhuruma ni kama mali ya damu! Hata uzao wao unalaana! Hukosi vifo ajabu ajabu! Vichaa! Mazezeta! Ajali na magonjwa makubwa makubwa! Kuna mmoja msharika mwenzangu alijiwekea bima ya maisha katika kampuni za bima ya afya! Akadakwa na cancer! Siku ya ibada ya kuaga mwili hiyo kampuni ya bima ilitoa pole ya million 1 tu! Ili hali ilishindwa kumtibu na ukwasi aliokuwa nao! Nadiriki kusema hao mafisadi wa TRA ni masikini wa kuwaonea huruma! Mmoja kipindi cha magu kuna mwanamke/mmama (Esther) alikutwa ana nyumba 75 na mgari 200! Sasa huu si uwendawazimu?
 
Mtu mshahara mln 3,4 lakini Ana mamilion ya feza
Kuna jamaa mmoja yuko huko anakuambia yeye mshahara wake haugusi anaishi kwa pesa za dili tu
Ila sasa hivi karibuni kisukari kimemtandika kwerikweri

Ova
Ndo nilikuwa nasema! Hawa jamaa ni masikini wa kuhurumia! Mmoja aliugua 'ini' hali chakula cha mafuta ni mwendo wa chukuchuku!
 
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
Watoza ushuru kuiona pepo/ mbingu ni mtihani.
 
Miaka 26 huna familia, unamshahara above 2m, Saccos ya ofisi inakukopesha mara 20 sijui 25 ya mshahara wako kwa makato ya 5 years makato ni kidogo kidogo. Hapo kuna overtime, kazi za nje ya mikoa pengine kuna allowance za mafuta, makazi na bonus za hapa na pale.

Ugumu wa maisha unatoka wapi?
Thank you. Watu wengi wamejaa wivu kuliko uhalisia.
 
Sheria za kodi zinawapa mwanya wafanyakazi wa TRA kutajirika, usipotoa risiti ya sh elf 20, fain 1,450,000, ukiongea na mfanyakaz wa TRA ataomba umtoe laki 5 ko utachagua wewe uilipe serikari au umlipe mfanyakazi?

Laiti faini ya risiti ingekuwa nafuu mfano usipo toa risit ya elf 20 unalipa 25 serikali ingeingiza Mapato mengi kusingekuwa na mianya ya rushwa

Note ukitoa sana risiti umeliwa sababu wao wanaangalia mauzo kwenye mashine hawaangalii faida. Kwa sisi tunaokadiliwa kodi makadirio uwa makubwa
 
Hayo sio maendeleo ya kutisha? Tena hapa Bongo?
Hebu kuwa serious bas
Acheni wivu madogo wana mishahara mikubwa sasa mtu analipwa 2mil akingia kazi anapanga nyumba ya laki 5 kwa mwezi kisha anavuta mkopo mil 50 .25 anavuta harrier kisha 25 anavuta kiwanja goba miaka mitano mkopo umeisja nshahara wao unapanda mi 3 anavuta mil 100 anajiongeza na vibiashara vyake ghorofa imeisha .kama inawauma mwambieni mama samia ashushe mishahara yao .WABONGO TUPENDANE
 
Back
Top Bottom