TRA NA JESHI LA POLISI BUNDA MNA HABARI KUHUSU HUYU JAMAA ANAYEUZA STICKER FEKI ZA TRA?

TRA NA JESHI LA POLISI BUNDA MNA HABARI KUHUSU HUYU JAMAA ANAYEUZA STICKER FEKI ZA TRA?

Tutu kalundji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
532
Reaction score
1,287
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua mgawaha feki ili kuutumia kama kichaka cha kufichia uhalifu wake!
Sasa andiko hili niwasanue Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) pamoja na Jeshi la Polisi Tanzania kwamba kwa sasa kaamua kuigiza kuwa muendesha pikipiki(bodaboda)ili aendelee kujificha kwenye michezo yake.

Kwa nini awamu hii nimeamua kuihusisha TRA?

Ni kwamba huyu bwana kwa sasa anafanya deals za kuuza stika feki za TRA kwa wafanyabiashara wote wanaojihusisha na uuzaji wa bidhaa feki zenye nembo ya TRA wakiwemo wauzaji wa dhahabu feki ambazo kwa Sasa nyingi zina chapa ya TRA.Kwa kifupi huelewana na mteja kisha mteja hubaki eneo fulani ambapo muuzaji huchukua pikipiki fasta na kufuata mzigo kisha kila mtu huchukua chake.

Mkiwa serious kulishugulikia hili kwa kutumia mbinu za kiintelijensia mtamkamata hata leo.Mgahawa wake upo eneo la mtaa wa posta,jirani kabisa na makazi ya mwenyekiti wa eneo hilo!!!!!!!!

NB:Sijapiga simu Polisi moja kwa moja kwa sababu zangu maalum

Jumapili njema
 
Back
Top Bottom