TRA: Ukinunua bidhaa na usipodai risiti utapigwa faini ya kati ya Tsh. 30,000 na Tsh. 1,500,000

TRA: Ukinunua bidhaa na usipodai risiti utapigwa faini ya kati ya Tsh. 30,000 na Tsh. 1,500,000

Mungu hakushindwa kuzuia lolote

"Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu."

"Enyi mlioamini Mtiini Allah, na mtiini Rasuli (Wake Muhammad) na Wale waliopewa mamlaka kutoka miongoni mwenu, ...... (Qur'ani, 4:59)
Chief omba ufafanuzi wa aya hiyo
 
Nilivyomsahulifu kudai risit, naomba hii faini inipite mbali, labda vitu vya ujenzi nikununua ndiyo huwa sio rahisi kusahau risit, ila hii pet shopping [emoji1622] wasije nidaka aisehhh na sio makusudi ni kuchukulia tu business as usually
 
Du magereza zitajaa

Gwala again
Kama zitajaa ndo unatakiwa uzikwepe zaidi maana huduma nazo zinakuwa za changamoto. Kama huna misuli utapitia wakati mgumu sana. We dai tu risiti urudi kwenye familia yako unapoheshimika.
 
Nilivyomsahulifu kudai risit, naomba hii faini inipite mbali, labda vitu vya ujenzi nikununua ndiyo huwa sio rahisi kusahau risit, ila hii pet shopping [emoji1622] wasije nidaka aisehhh na sio makusudi ni kuchukulia tu business as usually
Basi tsh 30,000 itakuhusu sana!
 
Warumi13​

1 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu...miongoni mwenu, ......" (Qur'ani, 4:59)
Hata serikali ya Amini, Gadaf Na Sadamu Hussein zilitoka kwa Mungu?
 
Mungu hakushindwa kuzuia lolote

"Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu."

"Enyi mlioamini Mtiini Allah, na mtiini Rasuli (Wake Muhammad) na Wale waliopewa mamlaka kutoka miongoni mwenu, ...... (Qur'ani, 4:59)
Sawa tutaziweka kwenye ma file kabisa
 
Bwashee, wale machinga mnao watoza elfu 20 za vitambulisho nao wanatoa risiti au kwa kauli hii mnatuambia tusinunue bidhaa zao?
Kwa mtizamo mwingine Ni kwamba zile biashara ndogo ndogo zinaenda kufungwa....

Wamachinga, mama lishe, bodaboda, mgenge ya bidhaa pamoja na wavuvi na wakulima wadogo wadogo...

Tii Sheria bila shuruti
 
Muda si mrefu wenye mahusiano /ndoa watalipia kodi
Ndugai na genge lake pamoja na covid19 Wanaweza pitisha azimio kila mwana ndoa awe analala chumba chake ukiingia kwa mwenzako unalipa na kupatiwa risiti halali kwa tendo moja ama mtakavyo kubaliana!
 
Kama zitajaa ndo unatakiwa uzikwepe zaidi maana huduma nazo zinakuwa za changamoto. Kama huna misuli utapitia wakati mgumu sana. We dai tu risiti urudi kwenye familia yako unapoheshimika.

Ukikutwa na Mali au kitu kisicho na risiti hicho Ni Cha wizi...
 
Vitu vingine atasijui huwa wanafikiria nini? Umedai risiti ya viatu dukani ukifika nyumbani unaifanyia nini hiyo risiti zaidi ya kuitupa tu? Hiyo process imesaidia vipi kuzuia ukwepaji kodi?

Utakamata watu wangapi kwa siku ambao hawajadai risiti na inafaida gani zaidi ya kuwapiga fines tu au tuite (uporaji unao halalishwa na mamlaka), yaani mtu aende shopping ya kawaida ya nyumbani kwake kila duka adai risiti hiyo wallet si itakuwa imejaa makaratasi tu mpaka arudi nyumbani.

I can understand walau wangesema manunuzi ya zaidi ya 500,000 kwa mkupuo lazima uchukue risiti.

Lakini kutaka kulazimisha watoto wachukue risiti hata za pipi dukani it’s stupid to say the least. Halafu ata sijui how you’d police this kutakuwa na stop and search njiani mtu akionekana na mfuko wa shopping unasimamishwa uonyeshe risiti.

It’s just stupid, there are better methods of auditing business kuliko kusumbua wananchi.
 
Back
Top Bottom