denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Inakuwaje unijibu mimi halafu lawama zako uwatupie Chadema, are you insane?Tatizo Nini Hadi hutaki kudai risiti kwa bidhaa uliyonunua kwa hela yako? Chadema hovyo kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuwaje unijibu mimi halafu lawama zako uwatupie Chadema, are you insane?Tatizo Nini Hadi hutaki kudai risiti kwa bidhaa uliyonunua kwa hela yako? Chadema hovyo kabisa.
Hahahaaaa..........!Inakuwaje unijibu mimi halafu lawama zako uwatupie Chadema, are you insane?
Nimetoka kwa mangi kununua kibiriti kasema hana risiti, nifanyeje? Duka la nne hili naenda hawana risitiCha muhimu usisahau kudai risiti kila wakati!
Kioski cha Mangi hawanaga EFD!Nimetoka kwa mangi kununua kibiriti kasema hana risiti, nifanyeje? Duka la nne hili naenda hawana risiti
Du magereza zitajaaOmba tu risiti wakati wote ndugu yangu maana Ukipatikana utahama huko kwenye umeme wa sola uende kwenye ugali wa bure wa serikali.
Chief omba ufafanuzi wa aya hiyoMungu hakushindwa kuzuia lolote
"Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu."
"Enyi mlioamini Mtiini Allah, na mtiini Rasuli (Wake Muhammad) na Wale waliopewa mamlaka kutoka miongoni mwenu, ...... (Qur'ani, 4:59)
Kama zitajaa ndo unatakiwa uzikwepe zaidi maana huduma nazo zinakuwa za changamoto. Kama huna misuli utapitia wakati mgumu sana. We dai tu risiti urudi kwenye familia yako unapoheshimika.Du magereza zitajaa
Gwala again
Hao ni chadema ni pingapinga Fc ukiwemo wewe denooJ.Inakuwaje unijibu mimi halafu lawama zako uwatupie Chadema, are you insane?
Basi tsh 30,000 itakuhusu sana!Nilivyomsahulifu kudai risit, naomba hii faini inipite mbali, labda vitu vya ujenzi nikununua ndiyo huwa sio rahisi kusahau risit, ila hii pet shopping [emoji1622] wasije nidaka aisehhh na sio makusudi ni kuchukulia tu business as usually
Hata serikali ya Amini, Gadaf Na Sadamu Hussein zilitoka kwa Mungu?Warumi13
1 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu...miongoni mwenu, ......" (Qur'ani, 4:59)
Sawa tutaziweka kwenye ma file kabisaMungu hakushindwa kuzuia lolote
"Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu."
"Enyi mlioamini Mtiini Allah, na mtiini Rasuli (Wake Muhammad) na Wale waliopewa mamlaka kutoka miongoni mwenu, ...... (Qur'ani, 4:59)
Kwa mtizamo mwingine Ni kwamba zile biashara ndogo ndogo zinaenda kufungwa....Bwashee, wale machinga mnao watoza elfu 20 za vitambulisho nao wanatoa risiti au kwa kauli hii mnatuambia tusinunue bidhaa zao?
Sasa si wangeeleza ni wapi pa kudai risiti na wapi tusidaiKioski cha Mangi hawanaga EFD!
[emoji28][emoji28][emoji28]Wameanza kukamata watu kwenye petrol stations (na Mimi leo nimepost jambo kuhusiana na gari, ila nilipewa lifti tu).
Ndugai na genge lake pamoja na covid19 Wanaweza pitisha azimio kila mwana ndoa awe analala chumba chake ukiingia kwa mwenzako unalipa na kupatiwa risiti halali kwa tendo moja ama mtakavyo kubaliana!Muda si mrefu wenye mahusiano /ndoa watalipia kodi
Kama zitajaa ndo unatakiwa uzikwepe zaidi maana huduma nazo zinakuwa za changamoto. Kama huna misuli utapitia wakati mgumu sana. We dai tu risiti urudi kwenye familia yako unapoheshimika.
As long as umetoka kununua ila Ikifikia hatua ya kupekuana majumbani kutafuta vitu visivyo na risiti hata ww utaisaliti serikali yako.Ukikutwa na Mali au kitu kisicho na risiti hicho Ni Cha wizi...
Basi tsh 30,000 itakuhusu sana!