TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

Kuna kitu umekisahau hapo kuna EACC act. Hii inaondoa double taxation, hapa gari ikifika Burundi nako kuna kodi zao za Customs, hivyo kupelekea bei kufanana na sisi wa huku.
 
Watanzania vigeugeu, mwaka 2021 baada ya Mama kuingia madarakani ikashangiliwa sana hapa kuwa anaondoa kodi za kiuonmevu zilizowekwa na dikteta Magufuli; imekuwaje leo tena!
 
huwa najiuliza, hivi wakishuka kabisa bei, kila mtu akawa na gari, halafu wakapandisha kodi kwenye mafuta, itakuwaje? manake kwa tz kununua gari used ni bei kubwa kuliko hata ulaya na asia.
 
huwa najiuliza, hivi wakishuka kabisa bei, kila mtu akawa na gari, halafu wakapandisha kodi kwenye mafuta, itakuwaje? manake kwa tz kununua gari used ni bei kubwa kuliko hata ulaya na asia.
Mtalalamika tu, Watz tunataka kila kitu kiwe BURE.
 
Kuna kitu umekisahau hapo kuna EACC act. Hii inaondoa double taxation, hapa gari ikifika Burundi nako kuna kodi zao za Customs, hivyo kupelekea bei kufanana na sisi wa huku.
Mkuu, fafanua vizuri kuhusu hiyo EACC Act. Hiyo kodi nilizoweka kwa Burundi, zinatozwa huko Burundi baada ya gari kufika na sio hapa Tanzania. Hapa Tanzania gari la Burundi linalipa ushuru wa Bandari tu
 
TRA wala haijawahi kueleweka inataka nini.
Kwa mfano ukiagiza gari mpya kabisa let's say zero Km kodi itakuwa juu sana maana itakokotolewa kulingana na thamani ya bei uliyonunulia gari.
Haya ukisema ujiagizie mkangafu wako napo unakutana na bei ya juu kwenye kodi kwa madai kuwa wanakokotoa na uchakavu kulingana na mwaka ambao gari imetengenezwa.
Binafsi nawashauri waache uboya, bora waweke kodi rafiki kwa gari mpya ili watuhamasishe kuagiza mali piru kabisa kutoka ughaibuni kama kweli wana nia ya kutokomeza gari chakavu nchini.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
hakuna kitu huwa kinanikera kama hiki, hivi hakuna watu wenye ubongo huko wawashauri hii kitu?
 

Mkuu, Pitia vizuri
Exercise duty to Age ni limit ya 7years TU
Hakuna cha miaka 12 wala 10.
Pia Exercise duty to age ni fedha ndogo sana haina effect kubwa kwenye ushuru.
Mfano: Angalia hapa gari ya mwaka 2015 ina Execise duty to Age wakati toka 2015 mpaka leo ni takribani miaka saba (7).
So TRA huwa wanapandisha Customs Value kwenye kikokotoo chao hivyo Commulatively ushuru unaongezeka kwa kuwa percentage zinabaki Costant.

Karibu
 
Epuka matapeli, kodi zote za TRA hupitishwa na BUNGE LA BAJETI na huanza kutumika tar 1/7 ya kila mwaka.
Kabla ya kupost vitu tumieni akili na kichwa kufikiri, sio mnatumia matako yenu kuanzishia mada.

Ni Kwenye vifungu sheria , ila
Hayo marekebisho madogo hususani figures wanafanyaga tu wenyewe kulingana na hali ya kibiashara.
 
Unamaanisha nini ukisema excise due to age ni limit ya 7 years? Afu lazima ujue gari inavyokuwa ya zamani excise due to age inakuwa kubwa na in most cases inazidi hadi VAT
Check gari yako hiyo from 2008. Usiwe unakurupuka. Wapumbavu pekee ndio hukurupuka
 

Attachments

  • 323AA6B7-1515-496D-A2EE-811FA51B87AA.png
    148.5 KB · Views: 30
Juxi kati, niliangalia V8 ya mwaka 2011 hivi ya bei nafuu, CIF ni kama 55m bali kodi na registration ni kama 88m 🙁 Custom value ni kubwa mno kulinganisha na CIF value.
Mmh🥱🥱🥱

Bei ya gari na usafirishaji toka huko mpaka nchini ni 55,000,000..

Kodi za TRA na bandari na makorokoro mengine 88,000,000..

Sasa hii difference ya TZS 33,000,000 ilichajiwa toka kwenye pesa gani ya mnunuzi na mlipa kodi huyu wa gari Hilo???
 
Alichosema mkuu hapo ni kuwa, TRA kwenye base yao wameweka bei kubwa za gari kuliko uhalisia na hivyo kufanya kodi kuwa kubwa. Yaani uhalisia CIF ni milioni 55 ambayo ndio ingepaswa kuwa msingi (base) wa kukokotoa kodi, lakini TRA unakuta gari hilo wenyewe wameweka CIF kuwa ni milioni 90.
 
Safi sana
 
+ Uhaba wa USD, gharama itapaa zaidi !!
 
Mikodi ya kuua uchumi na kukomoana, yenyewe yanaingiza bure kwa Vimemo na rushwa ndio maana hayajali, serikali imejaa wapumbavu watupu, hata US na utajiri wao wote hawana mikodi ya hovyo kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…