TRA wala haijawahi kueleweka inataka nini.
Kwa mfano ukiagiza gari mpya kabisa let's say zero Km kodi itakuwa juu sana maana itakokotolewa kulingana na thamani ya bei uliyonunulia gari.
Haya ukisema ujiagizie mkangafu wako napo unakutana na bei ya juu kwenye kodi kwa madai kuwa wanakokotoa na uchakavu kulingana na mwaka ambao gari imetengenezwa.
Binafsi nawashauri waache uboya, bora waweke kodi rafiki kwa gari mpya ili watuhamasishe kuagiza mali piru kabisa kutoka ughaibuni kama kweli wana nia ya kutokomeza gari chakavu nchini.
Sent from my TECNO KC6 using
JamiiForums mobile app