TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

Kwani wa CCM wanakatazwa kuchangia?
 
Twende taratibu, yaani Waturuki wanakuja kuwekeza nchini mwetu kwa kutegemea kukopa kwenye benki za ndani?
Are we serious??
Kabla hatujamlaumu TRA au mtu yeyote, tujiulize hao ni wawekezaji au wanatupotezea muda?
 
Miaka imeongezeka hadi mitano toka mitatu
 
Biashara kwanza ni kichwa, Mtaji na eneo labishara, sasa hapa kwetu swala la mtaji ni ngumu kwani pesa ni ghali, na kwao inawezekana kupata mtaji na kuleta hapa ni shida, ndio maana wakaeleta mitambo, ili wapate pesa za uendeshaji huku. kila kitu kina hatari yake na ili kufikia mafanikio lazima uende kwenye risks ambazo wengi wanaziogopa. ili nchi iendele inahitahi wafanyabiashara, na lazima ibadilishe sheria, na Hisia za namna ya kufanya kazi pamoja na wafanya biashara.
 
Daah mkuu hii una maanisha au jokes. Kwani kuchukua mkopo kutoka mabenki ya ndani ni kosa? Vipi ,kuna mtanzania amefanya hivyo ?
 
Unaweza au tuseme inawezekana ukalipa kodi kabla ya kufanya biashara kwa kukadiria/ kukisia kuwa faida itafikia kiasi gani mwisho wa mwaka, halafu mwisho wa mwaka mkishafanya mahesabu, ama unalipa palipopungua au wao wanarudisha zilizozidi.
Kwanini wasisubiri mpaka ufanye biashara.

Huoni ukilipa kodi kabla ya biashara hujafanya unapunguza mtaji?
 
Hahaha walipe tu, kama hawana cha kulipa waondoke, serikali ya ccm hii.
 
Kwanini wasisubiri mpaka ufanye biashara.

Huoni ukilipa kodi kabla ya biashara hujafanya unapunguza mtaji?
Swali la kwa nini linaashiria shari. Ila ni utaratibu unatumika sana nchi zilizoendelea pia. Binafsi siuchukii, kwa kuwa mara nyingi hurudishiwa kodi niliyolipa ziada.
 
Siyo kweli kwenye kero za TRA hakuna chadema wala CCM wote wanataabika na kero za TRA usiwasingizie uongo waturuki kuharalisha utetezi wako dhidi ya kasoro za watumishi wa TRA
 
Unaweza au tuseme inawezekana ukalipa kodi kabla ya kufanya biashara kwa kukadiria/ kukisia kuwa faida itafikia kiasi gani mwisho wa mwaka, halafu mwisho wa mwaka mkishafanya mahesabu, ama unalipa palipopungua au wao wanarudisha zilizozidi.
Tangu lini TRA wakarudisha fedha iliyozidi.
 
Wewe hujui wakikopa kwenye Bank zetu, bank zinafanya biashara kubwa na kuingiza faida kubwa???

Hivi CCM kuwa kilaza na sifa ya kujiunga na CCM??
Hiyo faida kubwa inakusaidia nini wewe mnyonge unayewekewa riba kubwa, akili ndogo ni shida..
 
Unajua maana ya Local Bank? Yaani unsye muita muwekezaji aje mikono mitupu ategemee mkopo toka Local Bank? Hakuna haja ya kuwa na Kituo cha Uwekezaji.
 
Kitila Mkumbo, Waziri wa Uwekezaji, kasema TRA isinyanyase wawekezaji na kuwafanya kama ATM, bali iwape incentives za ku invest.

Kinachosemwa na kinachofanywa ni vitu viwili tofauti.


"We need to change our mindset. Officials working with investment facilitation institutions should not see themselves as bosses to investors, we should look at them as partners and your duty is to facilitate," he said.

He directed the TIC to strengthen coordination and relationship with other institutions working for facilitating investments, including regulatory bodies, such as the Tanzania Revenue Authority (TRA), to ensure there is a good business environment.
 
Asiye jua plan za biashara mataga kama wewe unafurahia hujaona magorofa yanaandikwa TO LET na hasara yake unajua nini mtu analipia kodi jengo yeye halipangishi
 
Nilikuja juwa hilo baadae nimechelewa mkuu acha tu, wananidai milion1.
Yaani wwe umenifurahisha sana,ulipofungua biashara yako ulienda TRA wwe mwenyewe,na ulipofunga biashara yako ukafurahi kua Sasa nimesha wakomoa TRA ukapiga kimya bila kuwataarifu TRA,na TRA wao wakaendelea kukupiga charge zao Kama kawa! Mkuu hata Mke au Mume ukimuacha toa taarifa ili Watu tujuwe, maana anaweza hata kuchukua Mkopo kwa jina lako kumbe ulishampiga chini kitambo tu!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…