TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

....ukishaumwa na nyoka hadi unyasi unashtuka, ilikuja kampuni ya kuzalisha umeme, wakaja na mitambo kumbe "chuma chakavu" wakaomba mkopo benki kwa udhamini wa serikali,kilichofuatia hadi leo ni simulizi....au tumeisahau ndugu zanguuu!
 
Hawa waturuki wameleta Equipment, zenye gharama ambayo inaweza kuwa collateral kwenye mkopo, wanaruhusiwa kuomba mkopo.
Basi kabla hawajaja wangetumia hizo equipment zao zenye thamani ya collateral kuomba mkopo KWAO!

Hawakopesheki kwao wanadhani watakuja kupeta kwenye mabenki ya wendawazimu wa Afrika.

Wamekutana na ngoma ngumu Ikulu...

Julius Nyerere, aliyekuwa hatetemeki mbele ya Mzungu, Mwarabu na Mkenya, amefufuka katika wafu.
 
Biashara gani ?????

Walikosa mkopo wa benki ya ndani, wakakwama

Hawakuwa na biashara

Hawakuwa na mtaji

Hawakuwa na nothing

Deport them and ban them from re- entry for 10 years!
Halafu wewe utapata faida gani
 
Point yangu ni matumizi ya lugha. Anyway, wafanyabiashara (wawekezaji) gani hao? Wanakuja na briefcase ya makaratasi wakitegemea fedha ya ndani! Hapo cash inflow iko wapi? Watu wa aina hiyo wakiondoshwa kuna hasara gani?

Aidha kuna utaratibu wa mawasiliano na TRA kama biashara yako haija-takeoff. Je, wamefanya hivyo?
 
Point yangu ni matumizi ya lugha. Anyway, wafanyabiashara (wawekezaji) gani hao? Wanakuja na briefcase ya makaratasi wakitegemea fedha ya ndani! Hapo cash inflow iko wapi? Watu wa aina hiyo wakiondoshwa kuna hasara gani?

Aidha kuna utaratibu wa mawasiliano na TRA kama biashara yako haija-takeoff. Je, wamefanya hivyo?
 
Mkichekewa hamuwezi kulipa kodi..amna binadamu anayependa kodi siku zote..alaf nashangaa kwann wanaokwepa kodi hawabanwi..kampuni ya mzee wangu hatulipi kodi lakini sijawahi kuona wamekuja [emoji23][emoji23]..
Ohhhh [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unasubiri wakufuate kosa hilo, watakubananisha ukienda kutaka huduma ya leseni au chochote unachotaka toka TRA wataanza na deni lako [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] na mapenati ya kutosha
 

Fanya biashara kwanza ndo useme hayo. Biashara ni hadi uingie field unaweza ukawa na mtaji wa kutosha na still ukaliwa wote.

Biashara ni sawa na ndoa ni hadi uingie kwanza ndo utaona changamoto yake, kwa theory tu biashara ni rahisi Sana.

Watu tumepoteza zaidi ya milioni 250 na atujatoboa bado na hadi kumi hatuna still tunapambana.
 
Mkopo hauna Uraia yeyote anakopa tu na TRA wanapaswa kutumia njia za kistarabu kudai kodi siyo ubabe wa kishamba kwa njia haramu za kishetani kutengeneza mazingira ya Rushwa
Wewe unaumwa psychophobia na mamlaka za serikali utatetea upumbavu mwingi.
 

Hawa jamaa ina maana hakuna anayeona wanayoyafanya?
 
Halafu wewe utapata faida gani

Kwani sasa hivi tunapata faida gani ?

Hawa illegal aliens hawajafanya biashara, hatujapata lolote, hawakuwa na mtaji !!!!

Unatokaje Ulaya kuja kuomba mkopo Benki ya Wanawake, Kijichi kwa Bii Kidawa?

Revoke their Visa, give them 14-day voluntary departure window.
 
Mkuu umenena kitu cha maana sana. Kinachotokea ni elimu duni itolewayo na TRA na hao TRA kushindwa kuwa na common sense. Mtu kama hafahamu aelimishwe then afuate utaratibu. In fact TRA inahitaji mtu kama Dkt Magufuli, yaani mbunifu na mwenye maono.
 
duh kiongozi naona umeikubal move. ila nauliza je kwa sisi nao tukitaka kufanzia beshara uturuki na wao je na mtaji ukawa huna unaruhusiwa kuweka ofisi zako wakat unahangaikia mkopo bila kukatwa kodi?
 
Wana kuondoa uwoga wa kula mtaji dah!
Inauma siku zote ukiwa mbia una mtaji wa 10m wao wana chukulia kama iyo yote ni faida wanawaza na jinzi ya kukupiga faini
 
Kama nimekuelewa sawasawa, hawa Waturuki hawajaanza biashara bali wanasubiri Mkopo. Kama ndivyo, Sasa naomba kujua Kodi gani TRA wanaitaka? Maana Operations hazijaanza kwa sababu hawajapata Loan kutoka Bank.
 
Stupid move.

Hapo mnataka kuniambia kuna Mturuki ataleta pua yake tena hapa Tanzania?

They will come when Magufuli is gone
Huyo Magufuli uliyemsema ambaye mimi mpaka sasa simjui ni nani, una hakika ataondoka au mpaka kifo kimtenganishe na dunia?
 
Yaani hao wawekelezaji wanataka mkopo waupate hapa hapa nyumbani, ndo maana wanyonge tunapigwa riba kubwa hata na benki za umma kama CRDB na NMB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…