Sodata yani mambo haya hayahitaji nguvu wala ubabe, TRA ina wafanyakazi wakutosha mambo ya kodi sio kila mfanyabiashara kasomea mambo ya kodi huko shule, wanachotakiwa ni kutupa elimu ili watu wajifunze na kujua anawajibika mpaka wapi kwenye maswala ya ulipaji kodi, wengi hawana ufahamu huo yani ni kuchukulia mambo as business as usual kwamba kila mtu anajuaMkuu umenena kitu cha maana sana. Kinachotokea ni elimu duni itolewayo na TRA na hao TRA kushindwa kuwa na common sense. Mtu kama hafahamu aelimishwe then afuate utaratibu. In fact TRA inahitaji mtu kama Dkt Magufuli, yaani mbunifu na mwenye maono.
Et wanakukadiria kwanza. Unatoa kodi ya mwaka mzima, upumbavu. Nishawai kuwauliza kwa nini mnafanya hivi? Majibu waliyotoa mpaka leo sjaelewa.Unalipaje kodi haujaanza biashara? Hua nasema TRA watakuja kutuua na kiharusi kodi idaiwe kwenye faida hapo sawa unadai vipi kodi kwenye mtaji?
Kwahyo nasie tudai hela tuliyowapa..manaa kama mtu hujapata faida maana muamala unakua negative .Kiongozi ukifungua biashara alafu ikafa unaandika barua kuwajulisha kuwa biashara yako umeifunga hivyo wasiendelee kukudai tena kodi, lakini biashara ikifa alafu ukakaa kimya wao wanaendela kuhesabu tu kodi yao.
Hao waturuki hawana kosa yawezekana maofisa wa TRA hayo mambo ya kodi na biashara waliyoyasomea hawakuelewa ila wamekariri tuduh kiingoz naona umeikubal move. ila nauliza je kwa sisi nao tukitaka kufanzia beshara uturuki na wao je na mtaji ukawa huna unaruhusiwa kuweka ofisi zako wakat unahangaikia mkopo bila kukatwa kodi?
Unachosema ni kuwa muwekezaji toka Uturuki, kaja toka huko akitegemea mtaji wa mkopo toka Local Bank? Tuwe serious!Jioni ya leo, TRA imevamia na kufunga ofisi moja ambayo ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi wakidai kodi. Hii ni kampuni ya Waturuki inayohusika na kutengeneza tiles za majengo. Mashine zililetwa lakini kwa bahati mbaya jamaa walishindwa kuanza kufanya kazi kutokana na mtaji kutokutosha.
Waturuki walitegemea kupata mkopo kwenye moja ya mabenki ya ndani, kitu ambacho kimechelewa. Mategemeo yao ilikuwa ni kupata mkopo mwezi wa 4 lakini hadi Desemba mkopo ulikuwa bado haujapitishwa. Kwa maana hiyo hawakuwa na jinsi ya kuanza operations zao.
Hii kampuni hipo maeneo ya Mbezi Afrikana, na kwa bahati mbaya, magari ya TRA wamevamia jioni hii na kufunga ile ofisi na kumchukua mtu anayesimamia ile mali maana wengine inaonekana wako nje ya nchi. Na kwa sababu hakuna kazi, ni mmoja wao amebakia pale kulinda mali.
Labda akili yako haifanyi kazi. Investor anasoma TIC incentives ndiyo anakuja kuwekeza Tanzania. Unafikiri angejua hayo yote angekuja kuwekeza huko ujimani? Moja ya incentive ya kuwekeza ni kukopeswa (kuwezeshwa) kama una equipment. Watu kama nyie huwa mnajielewa kweli mnaishi dunia gani?Basi kabla hawajaja wangetumia hizo equipment zao zenye thamani ya collateral kuomba mkopo KWAO!
Hawakopesheki kwao wanadhani watakuja kupeta kwenye mabenki ya wendawazimu wa Afrika.
Wamekutana na ngoma ngumu Ikulu...
Julius Nyerere, aliyekuwa hatetemeki mbele ya Mzungu, Mwarabu na Mkenya, amefufuka katika wafu.
Kwa hiyo tufanyeje kama hawajalipa kodi yetu?Jioni ya leo, TRA imevamia na kufunga ofisi moja ambayo ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi wakidai kodi. Hii ni kampuni ya Waturuki inayohusika na kutengeneza tiles za majengo. Mashine zililetwa lakini kwa bahati mbaya jamaa walishindwa kuanza kufanya kazi kutokana na mtaji kutokutosha.
Waturuki walitegemea kupata mkopo kwenye moja ya mabenki ya ndani, kitu ambacho kimechelewa. Mategemeo yao ilikuwa ni kupata mkopo mwezi wa 4 lakini hadi Desemba mkopo ulikuwa bado haujapitishwa. Kwa maana hiyo hawakuwa na jinsi ya kuanza operations zao.
Hii kampuni hipo maeneo ya Mbezi Afrikana, na kwa bahati mbaya, magari ya TRA wamevamia jioni hii na kufunga ile ofisi na kumchukua mtu anayesimamia ile mali maana wengine inaonekana wako nje ya nchi. Na kwa sababu hakuna kazi, ni mmoja wao amebakia pale kulinda mali.
Kumbe hawakujipanga!!bahati mbaya jamaa walishindwa kuanza kufanya kazi kutokana na mtaji kutokutosha.
TRA ya awamu hii ni ya ajabu sana, nadhani tangu kuumbwa kwa dunia hii. Wanatumai nguvu nyingi mno kukusanya mapato, badala ya kutumia akili (sheria na miongozo iliyopo).Unalipaje kodi haujaanza biashara? Hua nasema TRA watakuja kutuua na kiharusi kodi idaiwe kwenye faida hapo sawa unadai vipi kodi kwenye mtaji?
TRA kuna shida kubwa wao wenyewe hawajielewi ndiyo maana hata wafanyabiashara hawawaelewiEt wanakukadiria kwanza. Unatoa kodi ya mwaka mzima, upumbavu. Nishawai kuwauliza kwa nini mnafanya hivi? Majibu waliyotoa mpaka leo sjaelewa.
Njaa na kupenda Hongo ndiyo Tatizo lao kubwaTRA ya awamu hii ni ya ajabu sana, nadhani tangu kuumbwa kwa dunia hii. Wanatumai nguvu nyingi mno kukusanya mapato, badala ya kutumia akili (sheria na miongozo iliyopo).
Kutoka Uturuki si kigezo cha TRA kufanya mambo ya hovyo lazima tukemee vitendo vya hovyo pasipo kuangalia chochoteUnachosema ni kuwa muwekezaji toka Uturuki, kaja toka huko akitegemea mtaji wa mkopo toka Local Bank? Tuwe serious!
Hivi kweli wawekezaji gani wanakuja kukopa ndaniJioni ya leo, TRA imevamia na kufunga ofisi moja ambayo ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi wakidai kodi. Hii ni kampuni ya Waturuki inayohusika na kutengeneza tiles za majengo. Mashine zililetwa lakini kwa bahati mbaya jamaa walishindwa kuanza kufanya kazi kutokana na mtaji kutokutosha.
Waturuki walitegemea kupata mkopo kwenye moja ya mabenki ya ndani, kitu ambacho kimechelewa. Mategemeo yao ilikuwa ni kupata mkopo mwezi wa 4 lakini hadi Desemba mkopo ulikuwa bado haujapitishwa. Kwa maana hiyo hawakuwa na jinsi ya kuanza operations zao.
Hii kampuni ipo maeneo ya Mbezi Afrikana, na kwa bahati mbaya, magari ya TRA wamevamia jioni hii na kufunga ile ofisi na kumchukua mtu anayesimamia ile mali maana wengine inaonekana wako nje ya nchi. Na kwa sababu hakuna kazi, ni mmoja wao amebakia pale kulinda mali.
Waue mala ngapi chief!Unalipaje kodi haujaanza biashara? Hua nasema TRA watakuja kutuua na kiharusi kodi idaiwe kwenye faida hapo sawa unadai vipi kodi kwenye mtaji?
Zanzimana nchi ilishamshinda kitambo kilichobaki ni vituko na vitimbi .Stupid move.
Hapo mnataka kuniambia kuna mturuki ataleta pua yake tena hapa Tanzania?
They will come when meko is gone
πππ TRA waangalie maana hata nyuzi zao kibao humu.. kuna mahala hapako sawa, huenda wakawa wana muhujumu RaisNilifungua biashara nikapewa makadirio kama kawaida nikalipa awamu ya kwanza, biashara haikufanya vizuri kutokana na eneo awamu ya pili wakaendelea kunidai, biashara ikafa kwa kulipa mikodi na nadaiwa mpaka sahivi mapato mengine, nimefunga biashara, sijui kwanini TRA wasiwe USER FRIEND na walipa kodi, sahivi nataka kufungua biashara ingine mkoa mwingine naambiwa maliza kwanza deni la awali na uombe maombi ya kuhamisha TIN
Mtu kama wewe ukiajiriwa TRA ndio unaenda kufunga ofisi za wawekezaji kwa sababu ya umbumbu wakoUnachosema ni kuwa muwekezaji toka Uturuki, kaja toka huko akitegemea mtaji wa mkopo toka Local Bank? Tuwe serious!
Leo nimeamka asubuhi nime tengeneza CV . Nasubiri mchongo tu.. πππ kujiajiri inahitaji moyo sana. Badala ya kupata suport kwao..wana kukalia kooni..Kwa kweli mifumo ya ulipaji kodi ni ya kipuuzi, halafu kutwa tunaambiwa na kushauriwa jiajirini kujenga uchumi wa taifa, ajira itabaki kuwa tamu aisehh kuliko unajiajiri na kuacha ajira ukitegemea ajira itafanya vizuri unajikuta unakua masikini zaidi, serikali waliangalie hili.