TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

Kiongozi ukifungua biashara alafu ikafa unaandika barua kuwajulisha kuwa biashara yako umeifunga hivyo wasiendelee kukudai tena kodi, lakini biashara ikifa alafu ukakaa kimya wao wanaendela kuhesabu tu kodi yao.
Wao watu wazijama wajiongeze. Usha piga kufuri account ya unae mdai.. na unaona hakuna kitu unaendeleaje kuhesabu kodi ?
 
Kabla hujafanya biashara ya halali, ufanye utafiti kwanza! Usishindwe wewe, ukaanza kulaumu TRA. Umesema biashara haikufanya vizuri kwa sababu ya eneo! Je! Na hilo ni kosa la TRA?
TRA huenda wakawa hawana shida. Ila kuna maeneo wanatakiwa kuweka sawa. Moja wapo uhusiano mzuri kati yao na walipa kodi, wawe pia wanajua uharisia wa walipa kodi wao. Mfano Muuza vyakula jumla jumla na Mkadandarasi katika namna ya uingizaji wa pesa kwa hawa watu ni tofauti .. lazima waelewe mazingira ya hawa watu.. ila uki treat wote sawa utau tu
 
Elimu ni shida sana!! niambie biashara gani yenye mtaji wa Billion 2 kuendelea unatokana na purely na mtaji wa muanzilishi?

Kwenye trade financing unaweza ombea mkopo kwa kutumia projected Cashflows..... Kwahiyo sio kitu cha ajabu mtu kuja na makaratasi tu bila hard cash.

Hata serikali huwa inauza hati fungani (Lijikaratasi hili) na kupata pesa ili ifadhili miradi so hard cash sio issue sana kwenye uwekezaji. Muhimu tu uwe na guarantee ya kueleweka.

Btw wakikopa benki za ndani ina maana watalipa interest kwa benki na kodi kwa serikali. Kumbuka wakitaka mkopo watahitaji kukata bima possibly TZ hapa hapa so ukwasi unarudi nchini au ulitaka achukue mkopo KCB ya Nairobi?
 
Mkuu umenena kitu cha maana sana. Kinachotokea ni elimu duni itolewayo na TRA na hao TRA kushindwa kuwa na common sense. Mtu kama hafahamu aelimishwe then afuate utaratibu. In fact TRA inahitaji mtu kama Dkt Magufuli, yaani mbunifu na mwenye maono.
TRA wanamuangusha sana RAIS na huenda kwa hili wana muhujumu wakifikiri wanafanya kazi vizuri kumbe wana haribu
 
Leo nimeamka asubuhi nime tengeneza CV . Nasubiri mchongo tu.. [emoji3][emoji3][emoji3] kujiajiri inahitaji moyo sana. Badala ya kupata suport kwao..wana kukalia kooni..
Wa kukuahiji SI ndio hao wenye makampuni wanaobanwa na kufunga biashara zao utaajiriwa wapi.

NGo zenyewe awamu hii zinadaiwa kod mfano shule ya St.Jude Arusha.


Tujipange.
 
Leo nimeamka asubuhi nime tengeneza CV . Nasubiri mchongo tu.. [emoji3][emoji3][emoji3] kujiajiri inahitaji moyo sana. Badala ya kupata suport kwao..wana kukalia kooni..
Ule msemo wa acheni kufikiria kuajiriwa mjiajiri ni upotoshaji mkubwa, ni bora uwe umeajiriwa na umejiajiri ili upande mmoja ukiyumba huku upande mwingine una balance
 
Na pia mkopaji huwa ametoa ajila kwa watanzania lazima ule mkopo uzingatie idadi ya wazawa na pia hakuna kampuni inaruhusiwa kusajiliwa pasipo kuwa na mzawa ndani yake kama dhamana ya mwekezaji
 
Ule msemo wa acheni kufikiria kuajiriwa mjiajiri ni upotoshaji mkubwa, ni bora uwe umeajiriwa na umejiajiri ili upande mmoja ukiyumba huku upande mwingine una balance
Kwenye kujiajiri TRA anakuvuruga sasa lazima watu warejee kuajiriwa tena
 
Ule msemo wa acheni kufikiria kuajiriwa mjiajiri ni upotoshaji mkubwa, ni bora uwe umeajiriwa na umejiajiri ili upande mmoja ukiyumba huku upande mwingine una balance
Hii muhimu mkuu. Hapa nilipo natafuta kazi.. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ. Nijipange upya tena maana
 
Wa kukuahiji SI ndio hao wenye makampuni wanaobanwa na kufunga biashara zao utaajiriwa wapi.

NGo zenyewe awamu hii zinadaiwa kod mfano shule ya St.Jude Arusha.


Tujipange.
Basi ngoja niwe mpigaji tu... maana hakuna namna.. mdomo wangu iwe ofisi yangu
 
Kwanini umetumia neno kuvamia? Unajua maana ya kuvamia?
 
Kutokutetemeka kwa Nyerere mbele ya hao uliowataja ndio kulisababisha tuvae viraka, na kupiga mswaki kwa chumvi.
 
Hii muhimu mkuu. Hapa nilipo natafuta kazi.. [emoji2][emoji2][emoji2]. Nijipange upya tena maana
Mimi ajira sikuitupa nilikua naangalia upepo, nimeona upepo unavyovuma nimeielewa situation wanayoipitia wafanyabiashara
 
MUONGO MKUBWA!

You have corn flakes for brains.

TIC na Serikali hawawezi kuahidi incentive ya kukopesha mjuba yeyote duniani kwa sababu Tanzania Investment Center SIO BENKI

TIC haiwezi kuiambia benki ya Exim, wee benki mkopeshe huyo Mchina!

Eti hawakujua kama watanyimwa mkopo. Wangetuma maombi ya mkopo kabla hawajaja.

Unatokaje Ulaya kuja kuomba mkopo Benki ya Maendeleo Vijijini, Madale kwa Mfuga Mbwa?

Revoke their Visas, ship them back. Instabul must refund us for the deportation tickets.

Hatuhitaji akili ya Mturuki kuendesha biashara ya vigae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…