TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

Tax unazotakiwa kulipa ukiingiza gari Tanzania ni Import duty, excise duty, excise duty based on age, VAT, registration, rushwa etc hii ni kukomoana au nini? huu ni zaidi ya uwendawazimu...unalipa tax zaidi ya bei uliyonunulia
Si tunalinda viwanda vyetu vya kutengeneza Magari,kuna kile kinachotengeneza gari aina Nyumbu na kingine kiwanda kipya Cha Masoud Kipanya! Ndiyo mnatakiwa mkanunuwe huko,umkileta Magari kutoka nje mtapigwa sana kwenye Kodi hadi wenyewe mtakimbilia kununua Nyumbu au kile kigari cha Kipanya!!![emoji3][emoji2][emoji1][emoji38]
 
Labda na kodi zingine. Hio benzi Ina kipi ziada cha kuitwa gari ya kifahari hata kodi yote hio
Mimi naona ufahari upo. Kulikuwa kuna sababu gani ya kununua mgari wa bei mbaya hivyo wakati gari za bei rahisi zipo na zingeweza kufanya kazi ile ile ukizingatia hiyo gari imenunuliwa kwa matumizi ya kampuni na itapata depreciation allowance kwenye ukokotoaji wa kodi mwishoni mwa kila mwaka wa mapato.
Ni njia moja wapo ya kudiscourage importation za aina hiyo na kuokoa fedha za Serikali ambazo zingekuwa exempted through depreciation allowances kwa huyo mfanyabiashara au investor.

Kwa matumizi binafsi ya gari ambayo si ya kifahari siungi mkono hoja.
 
Kudiscourage importations ya magari ya kifahari toka nje ni muendelezo wa akili za kimasikini nchini ni SAwa na Sheria ya ant dumping.
Una ant dumping nini SAsa wakati product yeyeto inaenda recycling baada ya matumizi yake kwisha.
Ant dumping principal ilikuwa na maana kabla ya ujio wa recycling industry.
 
Mimi naona ufahari upo. Kulikuwa kuna sababu gani ya kununua mgari wa bei mbaya hivyo wakati gari za bei rahisi zipo na zingeweza kufanya kazi ile ile ukizingatia hiyo gari imenunuliwa kwa matumizi ya kampuni na itapata depreciation allowance kwenye ukokotoaji wa kodi mwishoni mwa kila mwaka wa mapato.
Ni njia moja wapo ya kudiscourage importation za aina hiyo na kuokoa fedha za Serikali ambazo zingekuwa exempted through depreciation allowances kwa huyo mfanyabiashara au investor.

Kwa matumizi binafsi ya gari ambayo si ya kifahari siungi mkono hoja.
Una kichaa wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom