Waongeze hadi 100% wakati sahivu kodi inakimbilia 170% ya gharama halisi 🤣🤣🤣!Hii kodi ndogo. Sio kila mtu amiliki gar bhna. Foleni zinakuwa nyingi. TRA ongeza kodi hadi 100%
Atakufa kuzi na hii mambo ya ukusanyajiSio sawa kwa kweli,tunalipa Kodi lakini kwa maumivu makali sana.tunaipenda Nchi yetu lakini ng'ombe wanae mkamua maziwa anazidi kukonda[emoji24][emoji24][emoji24] mwisho wa siku atakufa
Wenzetu ukiwa mjamaa upewi lesseni ya udereva kuepusha kuishi kishetaniSio sawa kwa kweli,tunalipa Kodi lakini kwa maumivu makali sana.tunaipenda Nchi yetu lakini ng'ombe wanae mkamua maziwa anazidi kukonda[emoji24][emoji24][emoji24] mwisho wa siku atakufa
Kukusanya tu pasipo kuchochea uzalishaji ni Kuuwa uchumi wa nchi.Atakufa kuzi na hii mambo ya ukusanyaji
We jamaa nikikuita mkundu sidhani kama ntakosea.Amesema kama uliagiza 2020 lakini gari imefika 2021 basi hapo ushuru unabadirika kutokana miaka toka itengenezwe hiyo gari imeongezeka
Mmmh ni rafiki yangu Sana sana, hela imekata nyingine hadi nimemkopesha, maana ana miradi mitatu yote nyokoo imemmalizia hela, anajenga ghorofa, Yuko kwenye michakato ya kuoa, na kaagiza na hilo dude Japan [emoji848][emoji134][emoji134] imagine hapo! Mwana lazima presha ipande!Kwa mtu anayeagiza hio gari obvious anajiweza [emoji1787]
Kuna wengi sana ambao hili litawakumba hasa waliokopa ili waagize vyuma maana wengi hupukutisha account 😂😂😂 unakuta mtu kakomba hela zote kwenye account kabakisha mill.4 tuPata picha sasa gari yako ndio iko kwny meli kuja Bongo unakutana na hio kodi ya Tsh. 31m,gari itaishia kupigwa mnada tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti mndukuWe jamaa nikikuita mkundu sidhani kama ntakosea.
Hebu fikiri katika hii logic tu, umelipa ada ya mwaka ili mtoto asome kulingana na muhtasari wa shule husika unalipa ada in full. Inafikia nusu ya mwaka shule ilijenga majengo mapya kwahio unalazimishwa umlipie ada upya mtoto kinyume na makubaliano ambayo yako katika muhtasari ili kufidia ujenzi.
Je,utakuwa umetendewa haki? Unadhani ni sahihi wewe kulipa ada?
Dah hapo kweli show show 😂😂😂Mmmh ni rafiki yangu Sana sana, hela imekata nyingine hadi nimemkopesha, maana ana miradi mitatu yote nyokoo imemmalizia hela, anajenga ghorofa, Yuko kwenye michakato ya kuoa, na kaagiza na hilo dude Japan [emoji848][emoji134][emoji134] imagine hapo! Mwana lazima presha ipande!
Kibaya zaidi mi ndo nilipendekeza achukue huo mdude, maana magari hayajui vizuri na michakato yote nimemfanyia mimi ( ndo gari lake la kwanza) jana tulikuwa wote naona hana hata habari na mimi nimekausha ndinga ndo iko njiani inafika two weeks ahead...atalaumu kinoma[emoji848][emoji848]
Exactly [emoji122][emoji122][emoji122]Kuna wengi sana ambao hili litawakumba hasa waliokopa ili waagize vyuma maana wengi hupukutisha account [emoji23][emoji23][emoji23] unakuta mtu kakomba hela zote kwenye account kabakisha mill.4 tu
Hana hata presha...hajajua yaliyotua mezaniDah hapo kweli show show [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anajitia mwehu kumbe kuna ma fyatu zaidi humu😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti mnduku
Hahahah chuma inaanza na wharfage zinajidouble mwisho mamlaka inaamua kuitia gengeni tu 😂😂😂!Exactly [emoji122][emoji122][emoji122]
Na hiki kitu ndo kimetokea kwa huyu best ake mie
Si una kichwa ambacho ndio essential katika kuelewa😁Sijaelewa hata kidogo[emoji15] au kwa sababu sina gari..?[emoji4][emoji4]
Hali hiyo ikukuta Kama haukonfit kiuchumi lazima uwe chiziNini kimesababisha hyo Vanguard 2013 kutoka Kodi ya million 11 hadi million 31
Ng'ombe wewe Ni system ipi ya TRA unaweka chassis numberUongo huo ingia kwenye website ya TRA uweke chassis number ya gari yako hiyo Vanguard uone kodi unayotakiwa kulipa acha uongo au hata gari huna!!