TRA yafafanua ongezeko la ushuru wa magari

TRA yafafanua ongezeko la ushuru wa magari

Sio sawa kwa kweli,tunalipa Kodi lakini kwa maumivu makali sana.tunaipenda Nchi yetu lakini ng'ombe wanae mkamua maziwa anazidi kukonda[emoji24][emoji24][emoji24] mwisho wa siku atakufa
Atakufa kuzi na hii mambo ya ukusanyaji
 
Amesema kama uliagiza 2020 lakini gari imefika 2021 basi hapo ushuru unabadirika kutokana miaka toka itengenezwe hiyo gari imeongezeka
We jamaa nikikuita mkundu sidhani kama ntakosea.

Hebu fikiri katika hii logic tu, umelipa ada ya mwaka ili mtoto asome kulingana na muhtasari wa shule husika unalipa ada in full. Inafikia nusu ya mwaka shule ilijenga majengo mapya kwahio unalazimishwa umlipie ada upya mtoto kinyume na makubaliano ambayo yako katika muhtasari ili kufidia ujenzi.

Je,utakuwa umetendewa haki? Unadhani ni sahihi wewe kulipa ada?
 
Kwa mtu anayeagiza hio gari obvious anajiweza [emoji1787]
Mmmh ni rafiki yangu Sana sana, hela imekata nyingine hadi nimemkopesha, maana ana miradi mitatu yote nyokoo imemmalizia hela, anajenga ghorofa, Yuko kwenye michakato ya kuoa, na kaagiza na hilo dude Japan [emoji848][emoji134][emoji134] imagine hapo! Mwana lazima presha ipande!

Kibaya zaidi mi ndo nilipendekeza achukue huo mdude, maana magari hayajui vizuri na michakato yote nimemfanyia mimi ( ndo gari lake la kwanza) jana tulikuwa wote naona hana hata habari na mimi nimekausha ndinga ndo iko njiani inafika two weeks ahead...atalaumu kinoma[emoji848][emoji848]
 
Pata picha sasa gari yako ndio iko kwny meli kuja Bongo unakutana na hio kodi ya Tsh. 31m,gari itaishia kupigwa mnada tu.
Kuna wengi sana ambao hili litawakumba hasa waliokopa ili waagize vyuma maana wengi hupukutisha account 😂😂😂 unakuta mtu kakomba hela zote kwenye account kabakisha mill.4 tu
 
We jamaa nikikuita mkundu sidhani kama ntakosea.

Hebu fikiri katika hii logic tu, umelipa ada ya mwaka ili mtoto asome kulingana na muhtasari wa shule husika unalipa ada in full. Inafikia nusu ya mwaka shule ilijenga majengo mapya kwahio unalazimishwa umlipie ada upya mtoto kinyume na makubaliano ambayo yako katika muhtasari ili kufidia ujenzi.

Je,utakuwa umetendewa haki? Unadhani ni sahihi wewe kulipa ada?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti mnduku
 
Mmmh ni rafiki yangu Sana sana, hela imekata nyingine hadi nimemkopesha, maana ana miradi mitatu yote nyokoo imemmalizia hela, anajenga ghorofa, Yuko kwenye michakato ya kuoa, na kaagiza na hilo dude Japan [emoji848][emoji134][emoji134] imagine hapo! Mwana lazima presha ipande!

Kibaya zaidi mi ndo nilipendekeza achukue huo mdude, maana magari hayajui vizuri na michakato yote nimemfanyia mimi ( ndo gari lake la kwanza) jana tulikuwa wote naona hana hata habari na mimi nimekausha ndinga ndo iko njiani inafika two weeks ahead...atalaumu kinoma[emoji848][emoji848]
Dah hapo kweli show show 😂😂😂
 
Kuna wengi sana ambao hili litawakumba hasa waliokopa ili waagize vyuma maana wengi hupukutisha account [emoji23][emoji23][emoji23] unakuta mtu kakomba hela zote kwenye account kabakisha mill.4 tu
Exactly [emoji122][emoji122][emoji122]

Na hiki kitu ndo kimetokea kwa huyu best ake mie
 
Sijaelewa hata kidogo[emoji15] au kwa sababu sina gari..?[emoji4][emoji4]
 
Exactly [emoji122][emoji122][emoji122]

Na hiki kitu ndo kimetokea kwa huyu best ake mie
Hahahah chuma inaanza na wharfage zinajidouble mwisho mamlaka inaamua kuitia gengeni tu 😂😂😂!

Ataenda kuchukua chenchi yake kama wakimuonea huruma.
 
Nini kimesababisha hyo Vanguard 2013 kutoka Kodi ya million 11 hadi million 31
Hali hiyo ikukuta Kama haukonfit kiuchumi lazima uwe chizi
Btw milioni 31 ni parefu sana
 
Back
Top Bottom