Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hakuna bunduki, hakuna vitisho na kwa mara ya kwanza , mamlaka ya mapato Tanzania inakusanya Trilion 22.28 . Nani kama Samia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods unganisha huu Uzi,kuna mwingine uko humu tayariHakuna bunduki, hakuna vitisho na kwa mara ya kwanza , mamlaka ya mapato Tanzania inakusanya Trilion 22.28 . Nani kama Samia?View attachment 2279337View attachment 2279336
Huoni impacts au una shida mahala? Kipi huoni kama impacts?TRA ieleze pia kati ya hayo makusanyo serikali imelipia kiasi gani kupitia wakandarasi walioingiza malighafi za ujenzi wa reli,bwawa la Mwalimu Nyerere,kodi kutokana na manunuzi ya wakandarasi kutokana na fedha ya mkopo wa COVID 19 ambao ulijenga madarasa na vituo vya afya nchi nzima...tunaweza kutoa sifa kama hizi halafu wananchi wasione impact ya makusanyo kwa sababu sehemu kubwa ya fedha imetokana na fedha za serikali yenyewe.
Ukitulia utanielewa ndugu, TRA waseme kwenye ripoti yao kodi imekusanywa kutoka wapi?ununuzi uliofanywa na serikali katika ujenzi wa SGR na Bwawa la Mwalimu na pia ulipaji wa madeni makubwa ya wakandarasi wa hii miradi ya mikakati baada ya kupata mikopo nafuu na uendelezaji wa awamu nyingine mpya za SGR na ujenzi mkubwa uliofanyikq nchi nzima kutokana na fedha za Covid 19 nk vina impact kwenye kiwango cha kodi kilichokusanywa lakini inawezekana tax base imepungua au hata makusqnyo ya kodi za biashara za ndani.kupanda bei kwa bidhaa mbalimbali pia kumeongeza kiwango cha kodi ikiwemo kupanda kwa bei ya mafuta ya nishati na kula...kodi itakayoleta impact itatokana na uwekezaji kqtikq viwandq,utalii,nk...ndiyo maana kuna kipindi huko nyuma kulikuwa na sheria ya kuzuia manunuzi ya serikali kukatwa kodi. Sijui kama unanielewa.Huoni impacts au una shida mahala? Kipi huoni kama impacts?
Bajeti ya Serikali inapopangwa huo inaonyesha makusanyo na wapi zitatumika,kwa hiyo ni wajibu wako kufuatilia kama fedha zilitumika kama ilivyokusudiwa..
Kwangu mimi ni sahihi kwa sababu Kwa mujibu wa Bunge, serikali uliganikiwa kutekeleza bajeti yake kwa 95%..
Kukusanya jambo moja je inatumika bila kupgwa.Hakuna bunduki, hakuna vitisho na kwa mara ya kwanza , mamlaka ya mapato Tanzania inakusanya Trilion 22.28 . Nani kama Samia?View attachment 2279337View attachment 2279336
Lipa kodi kwa maendeleo yakoWatwambie kabisa na makusanyo ya miamala wanazokata kama vile kutukomoa ni shiling ngapi na kazi zake maana wanakamua mpaka damu, maana siku hizi kodi zinakusanywa mpaka kwenye vibaraza vya watu, mtu kuchukua tu pesa kwenye ATM na ni eneo la bank utawaona hao kodi mia kidogo.
Mshahara wa mtu ni siri yake we uujue ili iweje? mbonq husemi mshahara wako hapaPia itapendeza Samia akiweka wazi mshahara wake na kiasi cha kodi anachokatwa je hili litafanyika lini?
Huyu ni mwajiriwa kodi za wananchi ndio zinamlipa mshara, hela ya matibabu,malazi , usafiri na kiinua mgongo akistaafu iweje iwe siri?Mshahara wa mtu ni siri yake we uujue ili iweje? mbonq husemi mshahara wako hapa
Mimi sio public figure na sijaajiriwa mimi najilipa kila siku kwa kazi zangu.Huyu ni mwajiriwa kodi za wananchi ndio zinamlipa mshara, hela ya matibabu,malazi , usafiri na kiinua mgongo akistaafu iweje iwe siri?
point kubwa kabisa hii! huwezi kujisifu unakusanya kodi huku miradi mingi imesinzia hizo pesa zinaenda wapi. tujue tuanze kusifia serikaliTRA ieleze pia kati ya hayo makusanyo serikali imelipia kiasi gani kupitia wakandarasi walioingiza malighafi za ujenzi wa reli,bwawa la Mwalimu Nyerere,kodi kutokana na manunuzi ya wakandarasi kutokana na fedha ya mkopo wa COVID 19 ambao ulijenga madarasa na vituo vya afya nchi nzima...tunaweza kutoa sifa kama hizi halafu wananchi wasione impact ya makusanyo kwa sababu sehemu kubwa ya fedha imetokana na fedha za serikali yenyewe.