Ukitulia utanielewa ndugu, TRA waseme kwenye ripoti yao kodi imekusanywa kutoka wapi?ununuzi uliofanywa na serikali katika ujenzi wa SGR na Bwawa la Mwalimu na pia ulipaji wa madeni makubwa ya wakandarasi wa hii miradi ya mikakati baada ya kupata mikopo nafuu na uendelezaji wa awamu nyingine mpya za SGR na ujenzi mkubwa uliofanyikq nchi nzima kutokana na fedha za Covid 19 nk vina impact kwenye kiwango cha kodi kilichokusanywa lakini inawezekana tax base imepungua au hata makusqnyo ya kodi za biashara za ndani.kupanda bei kwa bidhaa mbalimbali pia kumeongeza kiwango cha kodi ikiwemo kupanda kwa bei ya mafuta ya nishati na kula...kodi itakayoleta impact itatokana na uwekezaji kqtikq viwandq,utalii,nk...ndiyo maana kuna kipindi huko nyuma kulikuwa na sheria ya kuzuia manunuzi ya serikali kukatwa kodi. Sijui kama unanielewa.