BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,329
EFD MACHINE zinatakiwa ziwe kwenye haya magari ya mizigo(Tandam, singo, canter, scania, mende na nyinginezo) Na Sio kwa wachuuzi wadogo wadogo.Kwani sheria ya Kutumia EFD inataka mwenye mauzo kuanzia shilingi ngapi kwa Mwaka awe na mashine ya EFD?
Iwapo huyo dereva amenunua kwa wakulima au wachuuzi wadogo wadogo wengi mbali mbali kwa kuokoteza njiani Je hao wa wachuuzi wadogowadogo au wakulima wadogowadogo wenye tenga moja au mbili nao wanatakiwa kuwa na EFD mashine?
Sasa unaponunua mzigo wako wa kuokoteza kwa wachuuzi wadogo wadogo basi hakikisha unaukatia risiti. Ambapo hizo risiti zinapatikana kwa watendaji wa vijiji.