Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Hapa sisi hatumuongelei mkulima anayekuuzia tenga mia za nyanya ndo akupe risiti , no Sio jukumu lake hilo
Wewe unaponunua hizo tenga 100 za nyanya kuna watendaji huko vijijini ndo wanakuktaia risiti ya EFD au kuna mageti huko ya kukata risiti.
Kwa hiyo elewa Sio mkulima anayekuuzia tenga mia ndo anatakiwa akupe risiti.
Hiyo Sheria ipi inayoelekeza huo utaratibu? Kifungu gani cha sheria?