TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

hii nchi ina historia kubwa haijawahi kushindwa vita haiwezi kushindwa vita na mebeberu yanayokuja kusanifu wanyama wetu huku yakiwa na nia mbaya ya kusapoti ushoga na usagaji kupitia chadema tuna jeshi imara tutayashinda tu tuko kwenye vita ya kiuchumi
 
Nilitegemea kuona serikali inapunguza mzigo wa kodi kwenye sector ya utalii lakini hari ni tofauti..Sector ya utalii tunaiuwa si wenyewe.
Gharama za utalii zinapokuwa kubwa kwa mtalii ana ghairi nakwenda nchi nyingine mwisho wa siku Hotel zetu zitakufa kifo cha mende na kuwa hostel
Uchumi wa dunia umepolomoka nilifikiri gharama zingeshuka zaidi kwa watalii ili kuvutia waje wengi zaidi sie tunapandisha..
Mzungu anajibana miaka 3 kukusanya pesa aje kutembea Africa sie tunamfukuza,wache waendelee kwenda nchi nyingine duniani.
Tukitoka hapo tunawaita mabeberu wakati ujinga wetu wenyewe..
Miaka 3 baadaye utasikia kodi imeondolewa hapo hotel kibao zilikwisha fungwa na watu kibao walikwisha poteza ajira kuanzia dereva mpaka mwosha vyombo wa hotel hata yule mmasai wa kukaribisha wageni Tanapa alikwisha rudi kuchuga Ng'ombe
Serikali ipambane kulinda ajira na kuongeza ajira sector binafsi na sio kupambana kuuwa ajira za sector binafsi kwa kuongeza mlindikano wa makodi..
 
Hivi hawa watu kwanini hawatushirikishii Wameshindwa kujkusanya koldi ya mashamba, majuumba, vijwanja, mifugo, nk
 
Safi sana. Sasa TRA walete kodi ya kupiga bao. Mtalii akipiga bao kwenye kitanda kilicholipiwa kodi ya TRA alipe kodi ya bao hata kama ni bao la wet dream nasema ariipeeeeeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona haya mapicha sijayaelewa vizur ? Kwan hotel anayolala huyo mtalii si inalipiwa kodi? Sasa kiaje tena na kitanda nacho kitolewe kodi?

Jaman hii ni fulsa kwa watanzania tuache kujenga mahotel sasa hiv tukanunue magari na trela za rv tufanye biashara
 
Wakuu wangu anaejua taifa linaelekea wapi naomba anipe jibu,
OMBI ebu jpm kila mwezi tenga mda ikiwezekana uwe unajitokeza hapa jf hutujibu maswali yetu hapa, tutazuia kebehi na matusi ,ila tu utujibu,maswali yetu na swali la msingi ni kwamba hivi kweli mpaka mda huu taifa lipo kwenye mstari upi, na je haya yanayosemwa yana baraka za mamlaka za juu au ni baadhi ya watumishi wanakuhujum
 
Kesho watakuja tena kuzindua kodi ya maji, mashuka na sabuni anayotumia mtalii.

Na sisi wananchi tujiandae utashangaa inakuja kod ya kukinga maji ya mvua sasa
 
Wameharibu shughuli zetu sasa inaingia mfukoni mwetu
 
Kama sikosei wakat wa kikwete alikuwa na kipindi TBC( Enzi hivo ni TVT) kila ijumaa ya mwisho wa mwezi halikuwa anaruka live kutoa hutuba na mda mwingne wanaruhusu sim za maswali. Nais itakuwa vyema kama na huyu akianzisha hiyo program
 
Msijisahaulishe nini maana ya upinzani. Unategemea chama kikuu cha upinzani kiisifu serikali inayoundwa na chama pinzani kwake?!
lakni kwani upinzani maana yake upinge kila kitu mkuu??πŸ€”
 
yani huyu dada hajawahi post eti "magufuli awanyoosha mabeberu...." mwikoooo yeye yale mabaya tu ,daah kuna watu wanaroho ngumu aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani hili baya, kupeana taarifa kuwa kuna kodi ya Kitanda Siku nayo nongwa au ni wakala wa mabeberu? Jamani kuweni na akili hata kidogo basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…