ππ½ππ½Bila shaka Mkuu, nazisubiri nikizipata tu nawawekea.
Yes...ππwenzetu kama hujui English..unakuwa na mambo machache sana.Sio dhambi....Cha kuokote lazima kikudhalilishe, hasa ukiongea sana.
Naona hadi wale watangazaji walishtuka wakamuacha tu.
Kwani Diamond ameshapita? Mi kwenye TV naangalia matangazo tu hapa hadi nasinzia.Yes...ππwenzetu kama hujui English..unakuwa na mambo machache sana.Sio dhambi....
Kuna Mu Algeria alipita pale alikuwa simple mno..
Sasa sie akaja na Diamond she.....πππnimejisikia vibaya mno kama Mtanzania mwenzangu.πͺπͺπͺ
Ehh google uoneIpi? Video?
No ...ni kijana wetu alivyopoteaπππhuku pia nipo kwa Tv naona matangazo tu..time ni kama 23:30P.M ndio pilika zitaendelea..Kwani Diamond ameshapita? Mi kwenye TV naangalia matangazo tu hapa hadi nasinzia.
Na hivi kumbe dogo alimuita Diamond she? Sijasikia vizuri.
Naam, sema bado niko stendi ya magufuli πKaipost mwenyewe Zuchu leo mchana, hata hivyo sio case.
jogoo1 bado yupo, mbuzi kachoka kisa jua la daslam.Kama huna yule jogoo aliyebaki usinisemeshe.
Ndio wakati huo huo...ππBasi sikuwa makini hapo.
Au itakuwa wakati anasema ni boss wake? π€£π€£
Mkuu ni kote hadi huku DStv, ila wanasema karibia wataruka live.Mbona tuzo zenyewe huku kwenye TV hazieleweki...!!!!
Nimeacha usingizin wangu vitu wanavyoonesha ni upuuzi, nipo Trace Music(174) Azam... Yaan ni ushubwada tupu
Ila sio lugha yetu sio mbaya... ni kama sisi tukiskia mtu wa nje anaongea kiswahiliYes...ππwenzetu kama hujui English..unakuwa na mambo machache sana.Sio dhambi....
Kuna Mu Algeria alipita pale alikuwa simple mno..
Sasa sie akaja na Diamond she.....πππnimejisikia vibaya mno kama Mtanzania mwenzangu.πͺπͺπͺ
Wabongo walivyo hiyo clip itatembea sana.
Ndio maana tunasema..huitaji kuwa na mambo mengi kwenye lugha ya Malkia...Ila sio lugha yetu sio mbaya... ni kama sisi tukiskia mtu wa nje anaongea kiswahili
Nimekaa hapa sioni hizo tuzoView attachment 3250382
Jioni ya leo February 26 kutakuwa na kilele cha msimu wa pili wa tuzo za muziki zinazojulikana kama Trace Awards huko visiwani Zanzibar.
Tukio hilo litakalofanyika viunga vya hadhi ya juu kistarehe, Mora Resort zitahudhuriwa na mastaa wakubwa Afrika wakiwemo Davido, Rema, Fally Ipupa, WizKid, Diamond Platnumz, Burna Boy, Ali Kiba, Zuchu na wengineo.
Msanii wa hapa nyumbani kwetu Diamond ameonekana kuziteka tuzo hizo kwa kupendekezwa katika vipengele vingi zaidi, huku Zuchu, Ali Kiba, Abigail, Mboso pamoja na mwanamuziki wa Injili Bela Kombo wakiambulia vipengele vichache.
Nitakuwepo hapa kuwapa updates zote, kuanzia drama za kwenye red carpet hadi kwenye unyakuaji wa tuzo.
We here, LIVE.
Muhimu
Tukio hili litaruka LIVE kupitia DStv Channel 323, Wale wa Azam walisema watarusha live pia Channel 174 pamoja na 106.
View: https://www.youtube.com/live/iAf5Zl1_yos?si=aEZiOmBpHlbvWMl-
Weka 174 kama azam wana performNimekaa hapa sioni hizo tuzo