Anaumia au anapiga dua asikamatwe maana wakimnasa hamna rangi ataacha kuiona.Ila nahisi aliyechukua hiyo video na kuisambaza Sasa hivi anaumia moyoni mwake Kwa kuharibu vibarua vya watu.
Vitu vingine vidogo vidogo ni vya kuacha vipite tu.
Kazi yao si kuangalia magari mabovu ccm na serikali yake ndo wamefeliHakuna marupurupu wala nini
Ajali haziishi kwa ajili ya watu kama hawa
Dereva hana leseni, matairi mabovu, breaking system hazifanyi kazi
Kila leo watu wanakufa kwa sababu magari hayaangaliwi kwa sababu ya haya majitu yameacha kazi zao na kujifungulia mradi
Naomba msiwatetee hawa kwani wakifanya kazi zao kwa uangalifu hamtaona ndugu zenu wakifa kila leo
Mara Lori limeparamia watu, mara basi limeacha njia yote haya ni kutokuwa waangalifu
Kwa siku wanapata zaidi ya hiyo.Hapo utakuta hela yenyewe haifiki hata 50k Dah😥
Nmejiuliza pia kwanini majina yamefichwa?Ni taarifa za maigizo au taarifa za kutengenezwa kama kawaida yao.
Hao Askari Polisi anaodai kwamba wamekamatwa na wako mahabusu, Je, kwa nini hajataja Majina yao?? Why?
Ni Mtu mwendawazimu tu ndiye ambaye anaweza akaziamini taarifa ambazo huwa zinatolewa na hawa Watu.Nmejiuliza pia kwanini majina yamefichwa?
Nakuhakikishia hajiHakuna trafiki asiyepokea rushwa, wote wakubwa na wadogo wanapokea na kula, kuna huyu dada anayekusanya 2000 kila gari hapo China Plaza, kituo cha Sekondari ya Benjamini Mkapa katikati ya Kariakoo na Karume, karibu na kiwanda cha bia Brewaries kila jumapili, tukutane hapo jumapili tushuhudie pamoja.
Rushwa imetapakaa kila Mahali katika nchi hii ya Tanzania, hakuna kitu cha ajabu hapo. Ni Askari Polisi wachache Sana kupita kiasi ambao ni wasafi, Yaani hawajihusishi na Rushwa Wala vitendo vingine viovu vya uhalifu ama uvunjaji wa Haki za watu.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za kisheria zitafuata dhidi yao.
Pia, Soma: Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa
Je, unakumbuka yaliyompata Mwandishi wa Habari za uchunguzi wa ITV mara baada ya kuwaumbua Askari Polisi walipokuwa wakipokea rushwa kwa kuwapiga picha Kama hivi ilivyofanyika kwa hawa Traffic Officer? Je, unakumbuka aliyekuwa RPC Suleiman Kova alimfanya Nini Jerry Muro baada ya tukio hilo?Kwahio mfalme ni askari traffic?
Kamanda anasema washakamatwa, kwa Mahakama za jeshi watatoboa?, au ndiyo kibarua kimeisha?.Atakuwa mdosi kaka ghorofani Pugu Road akarekodi karusha.
Hao ni wahalifu kama wahalifu wengine tu. It doesnt make any sense kum vice mtu anayesema ukweli.Je, unakumbuka yaliyompata Mwandishi wa Habari za uchunguzi wa ITV mara baada ya kuwaumbua Askari Polisi walipokuwa wakipokea rushwa kwa kuwapiga picha Kama hivi ilivyofanyika kwa hawa Traffic Officer? Je, unakumbuka aliyekuwa RPC Suleiman Kova alimfanya Nini Jerry Muro baada ya tukio hilo?
Hutakiwi kukutwa hata na hiko kikosa kidogo, otherwise gari usitoke nalo.Hii itawafanya Traffic Police kuwa na Hasira zaidi tu ..Maana hapo ni kupambania familia zao
Hii ndo ile unakutwa na kikosa kidogo mnashndwa kusort out mnaishia kuumizana na 30K juu ya wao kuhofia kuchukuliwa Video..
hawalipw mishahara ? wenzao wanakuwa wanadai haki zao wao hutumika kuzuia , ss leo acha kiwalambeHuyo Mwenyewe Kamanda J4 achukui chambi chambi?, awaachie bhana January ngumu hii wanatafuta Ada.
acha tuanze na hawa , wenzao walipiuliwa na watu walitaka kukemea hawa trafiki pamoja na vitengo walihusika kuzuia maandamano ya kukemea , acha waonje joto kias la hiyo adhabu km watachukuliwa kwelAisee hii tabia ya kurekodi watu wanapokea elf mbili mnaita rushwa ni hatari sana
Hivi mnajua Rushwa kweli?
Wanaokula rushwa hata wanaonekana kwa macho?
Eyes on small coins,
Mtasema mnaanzia hapa, lakini i can tell you hii mediocrity ni ya level ndogo sana kama taifa
ww akili yako ndogo sn , hujui wajibu wa trafiki na kichwa chako kibovu unahis kaz ya trafik kuelekeza magari ? unapochukua elf 2 na kuacha roho za watu 50 mpk 80 zipo kweny gar lenye mapunguf hiyo ni kupiga kaz? NDIO KUNA GAZETI LILITANGAZA WATZ WANAONGOZA KWA UJINGA AFRIKAAliyerecord na kusambaza hajafanya poa, hao jamaa wanapiga sana kazi tena kwenye mazingira magumu sana, jua,mvua zao hao..mpaka unawaonea huruma.
Na hawana sehemu ya nyongeza zaidi ya humo barabarani...watu wanapiga mabilioni kila siku na allowances za kutosha...
Wawaache bana..
hakuna trafiki hapokei rushwa , huu mfumo wa trafiku ni wa kukemea inbid trafiki afanye kaz kwa kuridhika maana alituma maombi akijua majuumu na ujira wakeTraffic wa Dar kiboko,wanabeba hadi mikoba!😁.
BTW: Hivi huu ni ushahidi usiotia shaka unaoweza kumtia hatiani mtu kuwa alikuwa anapokea rushwa kunako mahakamani?
Yasiwe yaleyale ya DC Bomboko na kesi ya makahaba Ubungo,mashahidi wa Jamhuri wakaishia kung'ata kucha tu.
Polisi waoga kutajana majina!Amewataja majina?
Kibarua Hamna hapo.Kamanda anasema washakamatwa, kwa Mahakama za jeshi watatoboa?, au ndiyo kibarua kimeisha?.
Wanatumwa hao mkuuKila daladala inaacha buku 2 tu🤣