Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wa hivyo unamrekodi mapemaPana mama mmoja yupo Arusha anakula rushwa huyo ana anaona kama haki yake tena anasimamisha gari zenye namba mpya mpya tu.
Dawa yao imepatikana
Kenya polisi ndio wanakamata traffic officers wala rushwa
Kila mbinu wakifanya wanadakwa
Kuna siku walikuwa wwkiongea na dereva wanamwambia kaweke paleee kama ni chini ya mti au chini ya jiwe
Kumbe wanachorwa tu mwisho wa siku wanaenda kuchukua chao ndio wanakamatwa na yote imerekodiwa
Tena kina mama wakizoea rushwa ndio wanakuwa wabaya zaidi wanatamani wafanye kazi usiku na mchana ili waibe zaidi