residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ngoja nimtafute kijana type ya Muro na nimpe camera afanye kazi kwa traffic wa Rufiji mliomkamata mchepuko wangu na kumtongoza.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za kisheria zitafuata dhidi yao.
Pia, Soma: Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa