TRC kuongeza treni kati ya Dar na Moro ni vizuri, hofu ni tabia ya Watanzania kutokuwa makini kazini kunakoweza kuleta treni kugongana!

Mambo sio rahisi hivyo kama kukosoa. Kwahio unafikiri hizo treni zinaenda tu kama bodaboda?
Wewe bwana kama huelewi topic kama hizi kaa kimya. Hii ni caution, accident za treni kugongana zinatokea hata Ulaya, sembuse Tanzania? Kwamba unawaona Watanzania wako perfect hawapaswi kukumbushwa issue kama hizi au una asili tu ya ubishi na kutotaka kukumbushwa mambo ya msingi, hadi watu wafe ndio urekebishe? Kwa taarifa yako, ukishakuwa na single line ya treni inaenda speed up to 150km/hr, ni jambo la usalama kuwa na double lines, kitu ambacho hatujaweka kwenye SGR, kwahiyo umakini ni muhimu sana. Unajua madhara ya treni inayoenda 150km/hr kugongana na treni nyingine?

This is a constructive caution, na ni pre-emptive advise, sio kukosoa. Kama huelewi kakojoe ulale. Aliesema treni zetu zinaenda kama bodaboda nani, au nani kukuhakikishia ziko safe 100%? Treni za UK zimegongana mara kadhaa kwa sababu wao zinaenda kama bodaboda?

Kama unajua kiingereza soma hapa chini toka Wikipedia. Mbishi unatoa off point utafikiri mbunge wa CCm

Advantages and disadvantages​

Single track is significantly cheaper to build and maintain, but has operational and safety disadvantages. For example, a single-track line that takes 15 minutes to travel through would have capacity for only two trains per hour in each direction safely. By contrast, a double track with signal boxes four minutes apart can allow up to 15 trains per hour in each direction safely, provided all the trains travel at the same speed. This hindrance on the capacity of a single track may be partly overcome by making the track one-way on alternate days, if the single track is not used for public passenger transit.

Long freight trains are a problem if the passing stretches are not long enough. Other disadvantages include the propagation of delays, since one delayed train on a single track will also delay any train waiting for it to pass. Also, a single track does not have a "reserve" track that can allow a reduced capacity service to continue if one track is closed.

On single-track lines with passing loops, measures must be taken to ensure that only one train in one direction can use a stretch of single track at a time, as head-on collisions are a particular risk.
 
Nenda TRC wakakuoneshe control room yao sio unaropoka tu hapa kama vile zile ni bodaboda zinajiendea
Kwahio unafikiri waliojenga line moja hawakufikiria hii simplistic issue unayoongelea?
 
Nenda TRC wakakuoneshe control room yao sio unaropoka tu hapa kama vile zile ni bodaboda zinajiendea
Kwahio unafikiri waliojenga line moja hawakufikiria hii simplistic issue unayoongelea?
Na wewe nenda Ulaya , Germany, UK ukaone control room zao, na bado treni zinagongana, japo wana double lines. Kwa hiyo watu wa Ulaya ni poyoyo kama wewe unaedhani mwonekano wa control room ndio unafanya treni zisigongane?



 
Hivi stesheni ya karibu ya SGR iliyo karibu na Mbezi ya Kimara ni ipi na ipo umbali gani kutoka stand ya Magufuli?
 
Aisee so nikujiachia tuu...vipi upo uwezo wakukata go and return ticket. Maana sasa safari dar moro dar ni dakika sifuri tuu. Wachepukaji sasa wamewezeshwa zaidi
 
Nyumbu wa chadema nao watapanda? Walipinga sana ujenzi wa SGR
Acha ubaguzi. Watanzania wangapi walipinga vyama vingi na bado vipo? Kwa hiyo wasishiriki siasa katika mfumo wa vyama vingi? Katika demokrasia ya kweli unaweza usikubaliane na jambo lakini likitekelezwa haina maana usinufaike na matokeo yake. Hivyo hata kama kuna watu waliopinga SGR, kwa sababu walizoona ni za msingi kwao, huwezi kuwa na akili timamu unapowaita nyumbu na kutarajia wasipande SGR trains. Lazima uwe na akili ya kitoto sana kuwaza hivyo, au una IQ ya kiwango cha kuku.

Mkeo akipinga wewe kununua gari ili mjenge nyumba kwanza, na ukaamua kununua gari kwanza tofauti na maoni ya mkeo, hutatarajia mkeo apande gari yako kwa sababu alikushauri ujenge nyumba kwanza? Mkeo anakuwa nyumbu? Ukitafakari hilo utajiona usivyo na akili ya kiutu uzima.
 
Nahisi hakuna. Kwa spidi ya SGR sio rahisi kwamba waliweka stesheni za karibu karibu. Ila sina uhakika
Nauliza hivyo ili kwa mfano mtu yuko Kimara au Bunju anataka kupanda hiyo treni, inabidi arudi hadi town ndiyo ageuze nayo, si ni kama mzunguko huo? Inakuwa ni rahisi zaidi kwake akaisubiria mbele karibu na anapotokea
 
Why tunapenda kuwa Kama wachawi?

Your negativity leaves a lot to be desired
 
Why tunapenda kuwa Kama wachawi?

Your negativity leaves a lot to be desired
Watu wa ajabu sana nyie. Caution mnaita negativity? Kuwaza huku hakuna tofauti na Abunuwasi aliekuwa akikata tawi la mti alilokalia, akaonywa asisikie, na alipoanguka akadai aliemuonya amemsababishia hivyo kama ameweza kutabiri kuanguka kwake atabiri pia atakufa lini.

Kwa hiyo mtu akikuambia usipokuwa dereva wa basi makini utaua abiria utaona hiyo ni negativity? I dont think unaelewa maana ya neno negativity.
 
Hapo ni swala la efficient kwenye muda na mawasiliano baina ya Treni na Treni kwamba eneo flani ndio makutano ya kupishana , hilo swala la kugongana linaweza kuepukika kama kuna muunganiko mzuri , kwasasa tunaanza pengine baadae tutaweka Double track kuounguza risk na Delays
 
Kiu be wa ajabu sana wewe

Tukiishi kwa negativity tunapumua kweli?

What are the chances of you walking on the roadside and be hit by a car?

Wewe ni Mtu wa hovyo sana
 
Kiu be wa ajabu sana wewe

Tukiishi kwa negativity tunapumua kweli?

What are the chances of you walking on the roadside and be hit by a car?

Wewe ni Mtu wa hovyo sana
Watu wanacheza bahati nasibu wakijua chance ya kushinda ni ndogo sana kuliko chance ya kupigwa na radi walking on the roadside unakokutaja, na bado wanashinda.

So if there is a chance of a collision due to irresponsibility and negligence, however small, take precautions and pre-emptive measures. That is the essence of the thread, because Tanzanians are renown for being very irresponsible and negligent. Go get some more education to emancipate yourself from thinking incapacity.
 
Crap
 
hili swali la kugonganisha treni mm mwenyewe nimeshajiuliza sana bila majibu. huko ulaya kwenye matekinolojia km yote na ustaarabu wao lakini bado unasikia treni zinagongana. sasa apa na huu uzembe tulionao[emoji848]inafikirisha sana. mungu baba atusimamie kwakweli. watu weusi tunajuana vizuri. umakini na kujali ni sifuri kabisa.
 
Nauliza hivyo ili kwa mfano mtu yuko Kimara au Bunju anataka kupanda hiyo treni, inabidi arudi hadi town ndiyo ageuze nayo, si ni kama mzunguko huo? Inakuwa ni rahisi zaidi kwake akaisubiria mbele karibu na anapotokea
nazani pugu itakua laisi kwako pia hakuna foleni sana na pia ndo kituo kinachopakia ata kama treni itakua haisimami vituo vya njiani ila pugu lazima ibebe sababu nayo ipo mjini na abilia wenge sana watakao shuka na kupanda ukizingatia watu wote wa gongolamboto kigogo chanika kinyelezi mbezi ata tegeta na bunju kuolikobkwenda mjini bora ushuke pugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…