Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Wewe bwana kama huelewi topic kama hizi kaa kimya. Hii ni caution, accident za treni kugongana zinatokea hata Ulaya, sembuse Tanzania? Kwamba unawaona Watanzania wako perfect hawapaswi kukumbushwa issue kama hizi au una asili tu ya ubishi na kutotaka kukumbushwa mambo ya msingi, hadi watu wafe ndio urekebishe? Kwa taarifa yako, ukishakuwa na single line ya treni inaenda speed up to 150km/hr, ni jambo la usalama kuwa na double lines, kitu ambacho hatujaweka kwenye SGR, kwahiyo umakini ni muhimu sana. Unajua madhara ya treni inayoenda 150km/hr kugongana na treni nyingine?Mambo sio rahisi hivyo kama kukosoa. Kwahio unafikiri hizo treni zinaenda tu kama bodaboda?
This is a constructive caution, na ni pre-emptive advise, sio kukosoa. Kama huelewi kakojoe ulale. Aliesema treni zetu zinaenda kama bodaboda nani, au nani kukuhakikishia ziko safe 100%? Treni za UK zimegongana mara kadhaa kwa sababu wao zinaenda kama bodaboda?
Kama unajua kiingereza soma hapa chini toka Wikipedia. Mbishi unatoa off point utafikiri mbunge wa CCm
Advantages and disadvantages
Single track is significantly cheaper to build and maintain, but has operational and safety disadvantages. For example, a single-track line that takes 15 minutes to travel through would have capacity for only two trains per hour in each direction safely. By contrast, a double track with signal boxes four minutes apart can allow up to 15 trains per hour in each direction safely, provided all the trains travel at the same speed. This hindrance on the capacity of a single track may be partly overcome by making the track one-way on alternate days, if the single track is not used for public passenger transit.Long freight trains are a problem if the passing stretches are not long enough. Other disadvantages include the propagation of delays, since one delayed train on a single track will also delay any train waiting for it to pass. Also, a single track does not have a "reserve" track that can allow a reduced capacity service to continue if one track is closed.
On single-track lines with passing loops, measures must be taken to ensure that only one train in one direction can use a stretch of single track at a time, as head-on collisions are a particular risk.