My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Yuko sahihi,Mama Samia bado hajakitende a kazi kiti chake mpk sasa amekua km mtu ambae mpk afikishiwe jambo lake ndo achukue hatua sasa treni km hilo liko barabaran na hamna mtu aliewajibikaSo rais ndio kafunga hizo waya???au kawatuma kufunga hizo waya??acha kudhihaki na kutumia lugha ya matusi kwa mtu au taasisi ....Kama huna cha kuandika ni bora kuwa msomaji.
Kwa hii Serikali nan atakaewawajibisha hai wahusika,subir uoneHeshimu hicho kiti ndugu. Japo maisha ya watumiaji wa chombo hicho ni muhimu,kuna wahusika ambao kwa taarifa hiyo leo hadi ifike jioni hawatakuwa na kazi.
Kubali tu huna akili mzeeWe ndio pekee huna akili,mama yako ananiheshimu sana
Enzi hizo unazo sifia zilikuta mabehewa haya yakiwa mapya, yalinunuliwa na Kikwete toka Korea kusini, kwa bahati mbaya enzi hizo zilikuja na bana matumizi ya service. Bila huduma hakuna chombo kitakacho dumu.Ingekuwa enzi za Magufuli saa hizi wangeshatumwa watu wakufuatilie na pangine Jamii Forum ingeshafunguliwa kesi.
Kupata vichekesho vingi kama hivi huwa mnabonyeza ngapi?
Hahahhaha jamaa wa arse8 unazingua.Huo waya iliitishwa tenda na mzabuni aliyeshinda aliutoa ujerumani na ametukodishia kwa Milioni 400 za Kitanzania.
Kama unauona waya ni dhaifu ungetuma maombi ya tenda utuletee wa kwako. Ila kwa sasa huu waya ni salama. Kwanza hatuwezi amini picha hua zinaeditiwa.
I wish litoke hili jibu
Itatembea ktk reli hiyo huyo ya mjerumani au mtajengewa standard gaugeNB: Ndugu Kadogosa TRC natoa ushauri, kuna hizo behewa nasikia mnasema mpya wakati BiM Dr, SSH alisema tunaagiza kwanza used na mapya yatakuja mwakani.
Katika hizo mpya tunaomba route moja itakayokuwa ni Express kutoka Dar, Moshi na Arusha, badala ya masaa 20 Dar to Arusha itumie masaa machache as 8 au 10 kwa kutosimama vile vituo vidogovidogo.
Mkuu pale kuna vitu viwili kuna brake shoe iliyoshikwa na vertical lever na brake block ambayo ipo attached katika brake shoe kwa kuwekwa safety pin makosa ni ile wire ambayo ipo katika shoe haistaili pia brake block imepata crack si sahihi iwe vile.Kitaalamu hiyo naweza ita expansion joint ya behewa, kuruhusu contraction kati ya taili la behewa na shock absorber
[emoji16][emoji16][emoji16] hatari tupu.Najua hawaji ila ishu ya mabehewa ya zamani waliandika Uzi fasta[emoji23] kukanusha, admin amelala yooo
Wahusika gani waone wakati wao ndio wameweka hizo vitu..Hatari sana, bila shaka wahusika wameiona na watalifanyia kazi.
Hii hapa chini ndiyo sijui wataalam wa wanasemaje kama break zikiwa katika hali hiyo, je treni inaweza kufanya kazi miezi mingapi na hakuna shida?