DOKEZO TRC, mtanitafuta kwa uchochezi au Mkurugenzi Mkuu Kadogosa utanishukuru mimi na JF? Treni imefungwa kwa waya!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii ajali ilikua kubwa la ajali,, kuna watu walipoteana wakaja kupatikana miezi kadhaa baada ya ajali,, baada ya kuvurugwa kiakili
 
Tulipoko ndipo tulipo pataka wenyewe watawala wamekuwa kama miungu mtu hawakubali kukuosolewa, ukija TPA utafurahi na Roho yako ndugu, hizo waya na hiyo breki iliyo pasuka ni cha mtoto.
 
Itatembea ktk reli hiyo huyo ya mjerumani au mtajengewa standard gauge
Hiyo hiyo ya mjerumani mkuu.
Moja ya sababu ya kuchelewa kwa treni kufika kule iendako ni kuwa na vituo vidogovidogo vingi njiani.
 
Yuko sahihi,Mama Samia bado hajakitende a kazi kiti chake mpk sasa amekua km mtu ambae mpk afikishiwe jambo lake ndo achukue hatua sasa treni km hilo liko barabaran na hamna mtu aliewajibika
Kwahiyo ndio tumwite mpumbavu au sio??
 
Ulikuwa unatafuta Nini huko mpaka ukapiga picha nimewaza tu
Moja ya swali zuri sana na ninaona jinsi ulivyoifikirisha akili yako.

JIBU; Yaani kila mtu ana utashi wake kwenye world game, mimi nikiwa safarini kwenye chombo chochote huwa ni lazima, yaani lazima tukistop any where nishangae shangae kilivyoundwa.

Mkuu hata ukinipa lift nitashangaa chombo chako tu!.
 
Ndiyo sisi hao, utaambiwa kazi ya Mungu aliwapenda zaidi
 
Yuko sahihi,Mama Samia bado hajakitende a kazi kiti chake mpk sasa amekua km mtu ambae mpk afikishiwe jambo lake ndo achukue hatua sasa treni km hilo liko barabaran na hamna mtu aliewajibika
Ameanza kukitendea kazi mkuu!.
 
Fursa ya picha naikosa kwa kutofunguka
 
Ndiyo sisi hao, mpaka iue mamia ndipo tuzinduke
 
TRC Wana VX latest balaa
 
Fursa ya picha naikosa kwa kutofunguka
Yego mwamba 😀!.
Pole naona tatizo hilo siyo kwako hata kwangu toka mchana picha hazifunguki.

Jaribu kushusha network to 3G alafu upandishe 4G, pia restart simu.
 
Na huyo masanja na kampani yake walitimuliwa kwenye bodi ila yeye bado anakomaa na ukurugenzi badala ya kujiuzulu kwa maslahi ya umma , hivi vijamaa sukuma gang vilitakiwa kuondolewa kabisa katika serikali ya hangaya maana ni wale wale tu
 
Malaika mlinzi amekuongoza vyema.

Sasa utasikia DPP anaanza kumsumbua Maxence Melo amtaje member aliyetoa taarifa hii.

Na kwa kuficha uozo utaona taarifa ya kuzuia kupiga picha vituo vyote vya treni wakisingizia tishio la usalama.

Bravo mkuu
 
Malaika mlinzi amekuongoza vyema.

Sasa utasikia DPP anaanza kumsumbua Maxence Melo amtaje member aliyetoa taarifa hii.

Na kwa kuficha uozo utaona taarifa ya kuzuia kupiga picha vituo vyote vya treni wakisingizia tishio la usalama.

Bravo mkuu
Sasa mkuu mimi mtu mdogo hadi DPP anitafute kweli?.

Alafu wakituzuia tusipige picha kwa simu inabidi wakati wa kulipanda hilo dubwana pale kwenye milango awepo askali anakusanya simu, ukifika mwisho wa safari yako ndipo unapewa phone yako.

Vinginevyo hatutakuwa tunaishi dunia hii ya binadamu, maybe tupo sayari nyingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…