Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Hii ajali ilikua kubwa la ajali,, kuna watu walipoteana wakaja kupatikana miezi kadhaa baada ya ajali,, baada ya kuvurugwa kiakiliView attachment 2447720
View attachment 2447721
Hizi ni breki za treni jamani!!!!!
Kuna treni iliua sana kwa sababu mabehewa yalikuwa hayashiki breki hivyo kichwa kilizidiwa na likaanza kukimbia ovyo na kupinduka. Watu walikufa sana na kosa lilikuwa mfumo wa breki za mabehewa kutofanya kazi
Ilikuwa Igandu, mwaka 2002
View attachment 2447731