TRC yatolea ufanunuzi kuzimika kwa treni ya SGR Julai 30, 2024 katikati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete


Mbona mapema sana?
 
Kweli kabisa, hata mimi nakumbuka walisema zina engine za diesel za backup ikitokea hitilafu ya umeme.

Watanzania hatuwezi kitu, tunajuwa majungu na umbea tu.
Hata majungu na umbea hatuwezi...hatuwezi kitu

Kwa hii nchi unaweza kualikwa kuzindua mradi mfano kama ni huduma ya maji, unafungua koki huku unawasiwasi kama kweli maji yatatoka.
 
Kweli kabisa, hata mimi nakumbuka walisema zina engine za diesel za backup ikitokea hitilafu ya umeme.

Watanzania hatuwezi kitu, tunajuwa majungu na umbea tu.
Power πŸ”‹ backup nafikili ni kuweka watu kwenye mabehewa wasikae Giza, ila sio locomotive kuwa na nguvu ya kuvuta mabehewa.

Mimi nilijua tuu battery πŸ”‹ gani lenye nguvu la kuvuta mabehewa ya treni
 
Mkuu battery ndo hizo kuweka mabehewa taa kuwaka.
Sawa, lakini to me, kulitakiwa kuwe na battery banks ambazo zinakuwa charged all the time na rectifiers wakati umeme upo. Umeme ukikatika, the DC current zitoke kwenye batteries, ziwe inverted to AC then zikaendeshe machines zinazoendeshwa na hizo overhead catenary system. Ni kama hiyo desktop computer yako na UPS uliyonayo..!!
Hatukutakiwa kuishia kwenye lighting system pekee..!!
 
. .Treni ya Kimataifa ?.. Treni Kimataifa umeishasikia ikikaa porini Kwa SAA MBI Kwa Mgawo wa Umeme ?
SI Watu wilisema hili mkatoa Maelezo marefu ya kujishaiu ?
Kiko wapi !!
 
Inatumia power bank kwa ajili ya kuwasha taa na kuchaji simu mkikwamaa sio Kuendesha train kijanaa..!
Nimecheka hapo kwenye kijanaaa...!! Ni kweli, lakini my point is, why tusihame huko kwenye ku-charge simu na kuwasha taa pekee??
 
Nimecheka hapo kwenye kijanaaa...!! Ni kweli, lakini my point is, why tusihame huko kwenye ku-charge simu na kuwasha taa pekee??
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€sababu umeme wa kuendesha ile engine ni kubwa sanaa huwezi uzalisha kwa kutegemea betri labda waweke na engine ya kutumia mafuta kama back up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…