Kwa nini kurudia-rudia majina wakati nchi bado ina majina mengi ya kuenziwa na hata vivutio? Serengeti kwenye ndege, meli, timu, mahoteli, mashule na sasa EMU. Mbona shujaa Kinjeketile haenziwi? Kina Mtemi Isike, Mangi Meli, nk. Milima kama Udzungwa, Oldonyo Lengai, Kantalamba, mapango ya Amboni, nk...