Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

Watu wengine wanalalamika kuhusu majina ya watu na sasa jina limekuja tofauti bado tunalalamika
Acha notafute hela haya hayanihusu hata wakiandika Treni sawa tu
 
Kwa nini kurudia-rudia majina wakati nchi bado ina majina mengi ya kuenziwa na hata vivutio? Serengeti kwenye ndege, meli, timu, mahoteli, mashule na sasa EMU. Mbona shujaa Kinjeketile haenziwi? Kina Mtemi Isike, Mangi Meli, nk. Milima kama Udzungwa, Oldonyo Lengai, Kantalamba, mapango ya Amboni, nk...
 
Back
Top Bottom