Treni ya kutoka Kigoma yapata ajali mitaa ya Kibirizi

Huku kutoweza chochote kunaanzia wapi na kuishia wapi?

Hudhani wewe na hata Samia nanyi hili linawahusu kama ilivyo kumbe kwa wengine?
Tena sisi ndiyo wa kwanza tusioweza, wanaoweza ni TEC vidume vya mbegu tu.
 
Tena sisi ndiyo wa kwanza tusioweza, wanaoweza ni TEC vidume vya mbegu tu.

Hapo kwa hakika umeweka maslahi ya taifa mbele.

"No hate, no fear. TEC wameupiga mwingi."

Mnyonge, mnyongeni.
 
Njia mbovu sana Ile inahitaji ukarabati wa gauge(rail size) standard sidhani kama ilishabadilishwa gauge tokea mkoloni gauge nyingi ni nyembamba mno
 
Wapewe DPW.....kule Tazara head on collition ...huku mabehewa yangapotea njia......ujue hakuna ukarabatiii........pesa zinaliwa tuuu.....huyo kadogosa sijui dogosa apumzike
 
Sijui kama yale magenge ya wafanyakazi kama bado yapo, nakumbuka enzi za ujamaa Nyerere aliwahi kusema ni umanamba kuishi porini kwa ajili ya reli au barabara!
 
Serikali ijifunze na kuelewa kuwa watu Ndio mali!! Reli hii na mabehewa haya hayastahili kubeba watu ambao ni mali ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…