FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tena sisi ndiyo wa kwanza tusioweza, wanaoweza ni TEC vidume vya mbegu tu.Huku kutoweza chochote kunaanzia wapi na kuishia wapi?
Hudhani wewe na hata Samia nanyi hili linawahusu kama ilivyo kumbe kwa wengine?