Lipo Mkuu nitajie jina la basha ako?Hilo tu limekukasirisha!?
AU UNA LINGINE?
then why 19 hrs on the rail tena third class na "mavi" yote. Nimeisafiria sana naijua fika shida za trani zetu!Kwasasa linatumia masaa 12 kwa maana ya tochi nyingi lakini zamani ilikua masaa 9 uko moshi unakunywa kisusio
Kuyafufua maendeleo yaliokuwepo kabla si maendeleo ,ni kufufuka kutoka Kuzimu.
Akijenga Standard Gage hapo tutaita maendeleo,na akijenga ya umeme tutaita,revolution,akijenga ya mwendo kasi,tutaita extra infrastructure evolution.
serikali kutimiza wajibu wake si jambo la kusifiwa,kwa kuwa ndo kazi yake.lakini ikiacha ,yafaa ilaumiwe kwa kuacha wajibu wake.
Kwa hili CCM ianajipambanua kivitendo na ubabaishaji uliozoeleka.
Mwambie jiwe aache kuwanaga marais waliopita et kwanini waliua hii reli tumechoka propaganda zake walifanya mengi 2 na yeye hatamaliza yoteYes it's a leisure trip for enjoyment.
Nenda Ujerumani na Netherlands hadi kesho they stll run steam engine train periodically just for leisure. Kwa sisi tuliopanda gari moshi, tukiangalia video kama hii ni mpaka raha
P
Hilo litreni la enzi za vasco da gama ndiyo umeona ni kitu cha maana saaana kupelekea wachaga kama siyo mnafuta mbinu za kuwauwa wachaga wote kwa jinsi msivyowatakaHalafu kumbukumbu zikifutika vichwani utasikia eti Kaskazini tunabaguliwa katika awamu hii.
Kwakweli kabisa @mr.mtui mimi kupanda hiyo kitu kwa sasa HAPANA kabisa.Nahisi kutumia muda mwingi kumetokana na ukweli kwamba hiyo njia bado Ni mpya from renovation. Sasa huwezi kuwa fala kiasi hicho mpaka uanze kukimbiza treni kwenye njia ambayo haijatumika kwa 25years
Nimeona umeweka 'source'.Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi.
Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria wamesema usafiri wa treni ni wa uhakika na hakuna mambo ya kuchimba dawa au kula magengeni kama ilivyo kwenye mabasi.
Baadhi ya abiria wameomba kwa kipindi hiki cha sikukuu wawekewe miti ya Krismas na zile taa zake kwenye kila behewa.
Source ITV habari!
Unasafiri Siku 2 kutoka Dar hadi Moshi, safari ya Masaa 8???[emoji1787][emoji1787]
CCM strategy "create a problem, then solve it so people can see how good you are". Pathetic!Mkombozi karudi Dsm to Moshi for only 16,000/=
Sasa toka dar mpaka moshi ni umbali wa 541km, kwa treni za kisasa hio safari inastahili kuchukua chini ya masaa 3 pekee, treni za kisasa nyingi zinafanya 240km per hour, sasa kaa hii treni ilichukua masaa 19 toka dar mpaka moshi, nini wabongo tunapiga makofi na kushangilia, hii inaoyesha vile uelewa wetu wengi hapo bongo ni mdogo kabisa, ni kaa hatujui yanajiri nje ya mipaka ya taifa letu, aina hizi za treni zinazokweda pole pole kaa hii ziko katika museum katika mataifa mengine, hapo ndipo watu huenda kuzitazama na kufundiswa historia ya vile reli za karne iliyopita zilikuwa zinafanana na vile zilikuwa ninaenda pole pole,masaa 19 umbari wa 541km!!!!!!!!!!!!!
Sio mbaya, sikukuu tunaiwahijohnthebaptist, [emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
Kwa hiyo abiria wote 294 wangepanda ya magazeti sio!! Hivi ni mabasi ya kwenda wapi?Mtu unaondoka dar saa 10 jioni unafika moshi saa 2 asubuhi. Si bora kupanda gari za "MAGAZETI".
johnthebaptist, [emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
Hii Treni ilihujumiwa na ccm na sasa wanajifanya kuifufua halafu wanataka wasifiwe hahaa mabingwa wa kutengeneza tatizo halafu kuja kulitatua kwa mbwembwe.
Ndio uwezo wetu mkuu kama nchi maskinini,Kuna wapumbavu naona wanatoa pongezi.
Wakati wenzetu wanaumiza vichwa kuja na mode of transportation itayo cover distance ndifu ndani ya muda mchache sisi tunazindua treni za mwaka 1945.
Hiyo treni unayosema wewe sidhani kama africa kuna nchi wanayo,Sasa toka dar mpaka moshi ni umbali wa 541km, kwa treni za kisasa hio safari inastahili kuchukua chini ya masaa 3 pekee, treni za kisasa nyingi zinafanya 240km per hour, sasa kaa hii treni ilichukua masaa 19 toka dar mpaka moshi, nini wabongo tunapiga makofi na kushangilia, hii inaoyesha vile uelewa wetu wengi hapo bongo ni mdogo kabisa, ni kaa hatujui yanajiri nje ya mipaka ya taifa letu, aina hizi za treni zinazokweda pole pole kaa hii ziko katika museum katika mataifa mengine, hapo ndipo watu huenda kuzitazama na kufundiswa historia ya vile reli za karne iliyopita zilikuwa zinafanana na vile zilikuwa ninaenda pole pole,masaa 19 umbari wa 541km!!!!!!!!!!!!!
Walipitisha kwanza treni ya mizigo kwenye safari ya kwanza kabisaKwakweli kabisa @mr.mtui mimi kupanda hiyo kitu kwa sasa HAPANA kabisa.
Wangesema waanze hata na mizigo ningewaelewa lkn binadamu unawafanyia majaribio kwa kitu kilichokuwa kimelala miaka na miaka hapana mzee wangu
Itapunguza malori ? Yan upakie tani 60 mara mbili kwa wiki upunguze malori ???? Akili zenu hua mnaziweka wapiSpeed ya treni inaendana na aina ya reli
Waliopanda ni watu......walijaa
Mizigo pia, itapunguza malori
Nipe analysis ya muda gani appropriate kwa yale mataluma?