BAHARI J
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 930
- 1,151
Haijawahi kutokea siku lika fanyika jambo watu wasupinge
Kila wakati watu hupinga.
Hapa ndipo tuna Pata maana halisi ya kuwa ni ngumu kumridhisha kila mtu katika jambo lolote
Treni haifanani na Gari, ndege, wala meli
Wengi wanao ponda hawaja wah Ata kukwea tren na Kujua huduma zake na hadhaa au unafuu wake
Je mme angalia kuusu gahrama?