imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ilani ya uchaguzi ya CCM
Mimi nimemjibu mleta thread wewe unalera ukiherehere wako.wewe unaleta siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilani ya uchaguzi ya CCM
Mimi nimemjibu mleta thread wewe unalera ukiherehere wako.wewe unaleta siasa
These numbers are so scaring! I hope TRC watafanyia kazi (wanajua wanachofanya!). Tuwape muda.Mabehewa 20 × abiria 80 = abiria 1600
Capacity 1600 - waliosafiri 294 = loss (1306 × nauli per person)
Tusikate tamaa tutangulize uzalendo tusafiri kwa reli yetu hata kama ni narrow gauge
Tena kwa mbwembwe na vigelegeleWanakuibia penseli halafu wanakusaidia kutafuta!!!😆😆😆
Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi.
Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria wamesema usafiri wa treni ni wa uhakika na hakuna mambo ya kuchimba dawa au kula magengeni kama ilivyo kwenye mabasi.
Baadhi ya abiria wameomba kwa kipindi hiki cha sikukuu wawekewe miti ya Krismas na zile taa zake kwenye kila behewa.
Source ITV habari!
Wengine wamepanda ndegeMbona nilisikia imeondoka na abiria 700 dsm, au wengine wameteremkia njiani?!
Mbona kwrnye suala la Mnyeti ulikuwa unakenua sa hizi ndio wamekuwa mtaji wa kisiasa acheni hizo msifanye watu kuwa ni wajingaHakuna mchagga atakusikiliza
Sio kweli apo kwenye mabasi unadanganya..Usisahau ni narrow gauge rail (reli nyembamba), haiwezi kwenda kwa kasi, mpaka reli iwe pana na axel za mabehewa yote yabadilishwe na mengi mengine.
Hata kwa sasa mabasi yanachukua zaidi ya masaa 10
Kula "like" mkuuTehe tehe,pinga pinga hamkosi la kusema
Treni ipo fully booked mpaka 31 dec
Hakuna mchagga atakusikiliza wewe wakati anafika moshi kwa 15,000
Waendao moshi miezi ya december ilikua ni kilio na kusaga meno,hayo masaa ulioyataja ndio walikua wanayatumia kulala ubungo kusubiri basi lije halafu nauli ilikua 90,000
Mafisadi waliowania Urais Chadema 2015
Unasafiri Siku 2 kutoka Dar hadi Moshi, safari ya Masaa 8???🤣🤣Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi.
Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria wamesema usafiri wa treni ni wa uhakika na hakuna mambo ya kuchimba dawa au kula magengeni kama ilivyo kwenye mabasi.
Baadhi ya abiria wameomba kwa kipindi hiki cha sikukuu wawekewe miti ya Krismas na zile taa zake kwenye kila behewa.
Source ITV habari!
Vipi kuhusu Dar-Dodoma-Tabora-Isaka ambao reli yao imeboreshwa sambamba na hii ya Dar-Moshi,Moja kati ya faida ya upinzani...kama upinzani ingekua haujakomaa Arusha na Moshi hii reli isingelifufuliwa.
Serikali ya ccm inaumiza kichwa wafanye nn ili wapiga kura wabadilishe mwelekeo kwenye chaguzi zijazo..Mwisho wa siku watu wanapata maendeleo.
Action and Reaction are equal and opposite.
NOTE; MOSHI NA ARUSHA ENDELEENI KUCHAGUA UPINZANI MUPATE MAENDELEO.
Kama ni hivyo si bora x mas watu waende kwa bajaj muda utakuwa mfupi? 19hrs utadhani unaenda Toronto?[emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
Katika hili tuache siasa kamanda, siku mbili umezipataje!!?Unasafiri Siku 2 kutoka Dar hadi Moshi, safari ya Masaa 8???[emoji1787][emoji1787]
Kwani hii treni ni mpya?Halafu kumbukumbu zikifutika vichwani utasikia eti Kaskazini tunabaguliwa katika awamu hii.
Masaa mangapi etiiHii analysis ni ya kurudiwa maana kule busisi tunatoka mwendo wa masaa 2.5 mpaka dk 4.
Tofauti ni kubwa sana
Mkuu naomba elimu kidogo!This is good news, haya ndio maendeleo ya huduma tunayoyazungumza.
P
[emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza