Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu JP Omuga, sisi watu wa precognition, premonition, na de javu, hatudharau kabisa taarifa kama hizi, please tembelea bandiko hiliSijuhi ni kwa nini napata hisia kuwa hii treni muda si mrefu itasababisha janga la kitaifa!!
Sijuhi tu yaani!!
Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
Wanabodi, Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers". "Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu...
Hivyo taarifa yako hii ni muhimu sana.
CC. Jp Omuga
P