DC Arumeru Leo Tarehe 13/08/2020 Majira ya saa mbili kasoro asubuhi tumepokea Gari Moshi (train) ya majaribio ya kwanza ya mizigo baada ya miaka 30 ya kukosa huduma hii ya usafirishaji katika mkoa wetu wa Arusha. #ArumeruYetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongeze safari za mizigo na za abiriaDC Arumeru Leo Tarehe 13/08/2020 Majira ya saa mbili kasoro asubuhi tumepokea Gari Moshi (train) ya majaribio ya kwanza ya mizigo baada ya miaka 30 ya kukosa huduma hii ya usafirishaji katika mkoa wetu wa Arusha. #ArumeruYetu
Faida yote ya reli waliipeleka Kwao pesa haikubaki nchiniNajiuliza wakoloni ambao walijenga reli 1900 ikaingia Arusha kwanini tuliwatoa kama leo tunashangilia treni kuingia Arusha baada ya miaka 60 ya uhuru?
Waliondoka na treni na reli waliibomoa?Faida yote ya reli waliipeleka Kwao pesa haikubaki nchini
Kama imechukua miaka 30 serikali ya ccm kupeleka treni arusha je itachukua miaka mingapi serikali ya CCM kuivusha Tanzania kutoka kwenye lindi la umaskini?DC Arumeru Leo Tarehe 13/08/2020 Majira ya saa mbili kasoro asubuhi tumepokea Gari Moshi (train) ya majaribio ya kwanza ya mizigo baada ya miaka 30 ya kukosa huduma hii ya usafirishaji katika mkoa wetu wa Arusha. #ArumeruYetu
Kuwatoa was a must,ilikuwa ni lazima tujitawale,tatizo waliingia walaji wakala mpaka wakaua kila kitu,lakini tokea amaeingia JPM kila kitu sasa kimerudi kwenye mstari,sasa hapa utachagua mwenyewe kura yako umpe nani mwezi October...Najiuliza wakoloni ambao walijenga reli 1900 ikaingia Arusha kwanini tuliwatoa kama leo tunashangilia treni kuingia Arusha baada ya miaka 60 ya uhuru?
Kama Lisu na Membe hatagombea hata kwenda kupinga kura sitahangaika, siwezi kwenda kuchagua maisha magumu hiyo laana siitaki kabisaKuwatoa was a must ilikuwa ni lazima tujitawale,tatizo waliingia walaji wakala mpaka wakaua kila kitu,lakini tokea amaeingia JPM kila kitu sasa kimerudi kwenye mstari,sasa hapa utachagua mwenyewe kura yako umpe nani mwezi October...
Faida yote ya reli waliipeleka Kwao pesa haikubaki nchini
Kuwatoa was a must ilikuwa ni lazima tujitawale,tatizo waliingia walaji wakala mpaka wakaua kila kitu,lakini tokea amaeingia JPM kila kitu sasa kimerudi kwenye mstari,sasa hapa utachagua mwenyewe kura yako umpe nani mwezi October...
DahAsanteni kwa hili, ila Oktoba wembe ni ule ule.
...siku izi treni la DSM-Moshi silisikii likishadadiwa sanaanaa.. safari zake bado zipoo?