DOKEZO Treni ya SGR ya Dar - Dodoma imesimama Morogoro kwa Saa Mbili, kisha imezima tena kabla ya kufika Dodoma

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Jiandae kwa budget ambayo hukuitarajia
 
Mpaka sasa hivi TRC hawajatoa mrejesho? Vipi bado mmekwama hapo Morogoro?
 
Ni matatizo ya kiufundi hata wao hawajatarajia mbona siku nyingine wanaenda sawa jitahidi kuwa mvumilivu kama mnaona tren halina uhakika pandeni mabasi mbona miaka iliyopita mlikuwa mnapanda mabasi
Tatizo wananunua used. Wazungu wameshayatumia na kuyatupa wao ndiyo wanachukua ili waonekane wanafanya maendeleo. Treni mlinunua la nini? Kumbe unaweza kupanda saa 2 asubuhi Dodoma na ukafika kesho yake Dar saa 5 usiku😀😀😀😀
Shida ya mtu mweusi huwa hajali muda Kukaa masaa 3, yeye anaona kawaida sana
 
Kuna mtu hapo kasema Kuna kitu kimetokea kwenye njia haipitiki. Hata wa Dodoma wamepandia mbele na sio station kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…