DOKEZO Treni ya SGR ya Dar - Dodoma imesimama Morogoro kwa Saa Mbili, kisha imezima tena kabla ya kufika Dodoma

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bado hamjasema🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni kama imekaa kimkakati watu wasiipande treni, haina uhakika wa safari. HARAKATI ZA MTU MWEUSI
 
Imeondoka?
Inaonekana kuna kipande njia iba tatizo.wanawafikisha abiria hadi hapo halafu wanapanda bus kufika Dodoma. Wa Dodoma wanafikishwa hio sehemu kwa bus halafu wanapanda treni kuelekea Dar.
Tusubiri taarifa ya TRC.
 
Sgr imeZidi nje huko hazitokei kwa kujirudia matatizo...

Ova
SGR bado ipo kwenye majaribio itachukua muda kukaa sawa. Wame rush ilikuwa bado kukamilika kabisa. Nashukuru mara zote nilixopanda haikuwahi kuzingua.
 
Inaonekana kuna kipande njia iba tatizo.wanawafikisha abiria hadi hapo halafu wanapanda bus kufika Dodoma. Wa Dodoma wanafikishwa hio sehemu kwa bus halafu wanapanda treni kuelekea Dar.
Tusubiri taarifa ya TRC.
Nauli ya kupanda bus hapo hadi Dodoma wanawapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…