Treni ya umeme naona imeanza kazi

Keep on dreaming
Happ full. Huoni na mabehewa ya umeme full. Ndani 2*2 full AC full WiFi full USB full service cafeteria toilets sauna massage room.. Dar to Moro dk 60 yaani Mechi ya Morocco vs Frace haijaisha tushafika Msamvu.
 
Vichwa vya treni VIMEOKOTWA BANDARINI... hahah
 
Kamuulizeni Kasim M.
 
Tatizo bei za nauli walizopropose TRC ni mara mbili ya mabasi...Latra wawaokoe maana zikipita hizo bei hiyo Reli itakufa kabla haijaanza labda waforce kuwaondoa mabasi kama mwendo kasi.
Umesoma tangazo vyema?
 
Nje na kubadili chombo cha usafiri.Je kusafiri na treni ngarakakuliko gari au kuna mengine zaidi?
 
WIRE ZA UMEME ZIKO WAPI?
 

Mbona ilo loco nila reli ya zamani mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa walikuwa wantest kwa kutumia power bank. Lipo vizuri
 
This is africa😂
 

Attachments

  • D822D8CA-CB8A-4952-AAE4-5E890CD83E65.jpeg
    114.3 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…