Hata baada ya kufufua meli na vivuko nauli zimekuwa mara 2 ya basi lkn hizo meli na vivuko vinajaa kuliko kawaida, mwanzoni tulidhani meli zitakosa wateja lkn kumbe mweeee.Nauli hata kama ni mara 3 ya basi siwezi kupanda basiTatizo bei za nauli walizopropose TRC ni mara mbili ya mabasi...Latra wawaokoe maana zikipita hizo bei hiyo Reli itakufa kabla haijaanza labda waforce kuwaondoa mabasi kama mwendo kasi.
Nchi yenye tatizo kubwa la umeme inwezaje kuwa na treni za umeme?Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi...
Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli...
MAMA ANAUPIGA MWINGI.
View attachment 2442562
Sawa umeongea point sana maana tusipopanda vivuko tutapiga mbizi kuongezea tu meli mfano kutoka Mwanza kwenda Bukoba ni nafuu mara nyingi kuliko bus hivyo hivyo kwa treni kutoka Dar kwenda Kigoma.Hata baada ya kufufua meli na vivuko nauli zimekuwa mara 2 ya basi lkn hizo meli na vivuko vinajaa kuliko kawaida, mwanzoni tulidhani meli zitakosa wateja lkn kumbe mweeee.Nauli hata kama ni mara 3 ya basi siwezi kupanda basi
Mabehewa ya umeme yana nguzo kwa juu za kushikia waya za umemeHivi nyie watu mna nini? mlitaka hayo mabehewa yapelekwe sehemu husika kwa kutumia matoroli ama?.
Sidhani kama haya ni yale mapya!! Mbona hayana kishika umeme juu yake?Yesu tuokowe baba[emoji2299][emoji2299][emoji2299]
Hili taifa linahitaji maombi makali sana kama hii ndo tren ya umeme basi tumekwisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2443400
Sidhani kama una akili timamuHivi nyie watu mna nini? mlitaka hayo mabehewa yapelekwe sehemu husika kwa kutumia matoroli ama?.
Ina wiki sasa inazurura kama mfugo uliokosa mwenyejiYesu tuokowe baba[emoji2299][emoji2299][emoji2299]
Hili taifa linahitaji maombi makali sana kama hii ndo tren ya umeme basi tumekwisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2443400
Escape from SobiborMabehewa hayana hata muonekani wa kupigia hata picha tu,
si bora tu upande basi lina muonekano yani upande madude ya ajabu sa yana utofauti gani na mabehewa yaliyokuwa yanasafirisha askari WW2