Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere limepotelea wapi

Historia inaandikwa. Tumeahidi, Tumetekeleza.
 
ujazaji maji Bwawa la Nyerere wageni 2,300 kudhudhuria.
Mbona Gharama Za ugeni huu Ninaona ni kubwa sana sana.

Au bwawa hili limejengwa mjini Ili watu wahudhurie wengi kiasi hicho?

Nimeuliza tu kwa sababu kuna matukio siku hizi watu wanatumia kupigia kodi Za wananchi
Sasa maji yakipungua hatutakua na mgao tena?
 
ujazaji maji Bwawa la Nyerere wageni 2,300 kudhudhuria.
Mbona Gharama Za ugeni huu Ninaona ni kubwa sana sana.

Au bwawa hili limejengwa mjini Ili watu wahudhurie wengi kiasi hicho?

Nimeuliza tu kwa sababu kuna matukio siku hizi watu wanatumia kupigia kodi Za wananchi
SEMA mgeni rasmi wa kuwasha kitufe ni Rais Dk Samia naona unazunguka zunguka tuu 👇
Screenshot_20221218-182611.png
Screenshot_20221218-182721.png
 
Chamsingi wajaze..tumechoka na ngojera.

Kifuatacho tu atazamia umeme wa uhakika wa bei nafuu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sawa

Waahidi pia Kuwa mgao wa Umeme utakuwa historia!

Sio wanajaza maji tu halafu mambo ya Umeme kuzima kama kibatari yanabaki pale pale!
Najua mmeumia sana hamkutarajia angeweza!! Punguzeni chuki sukuma Gang Kila mtu anaweza fanya Kila kitu akipewa nafasi unlike mnavyoamini kuwa ni JPM pekee!!
 
ujazaji maji Bwawa la Nyerere wageni 2,300 kudhudhuria.
Mbona Gharama Za ugeni huu Ninaona ni kubwa sana sana.

Au bwawa hili limejengwa mjini Ili watu wahudhurie wengi kiasi hicho?

Nimeuliza tu kwa sababu kuna matukio siku hizi watu wanatumia kupigia kodi Za wananchi

Idiotic decision as usual
 
Halafu tunaambiwa tozo ni lazima.
Lakini kubana matumizi hawataki.
Kila kukicha shughuli na tafrija!
Bi tozo keshanichosha, basi tu!
 
Najua mmeumia sana hamkutarajia angeweza!! Punguzeni chuki sukuma Gang Kila mtu anaweza fanya Kila kitu akipewa nafasi unlike mnavyoamini kuwa ni JPM pekee!!
Wewe na ACT yenu si mnalambishwa asali Ndio MAANA!!?

Hatupingi juhudi za maendeleo,tunataka mambo yafanyike kwa speed!

Yaliyopangwa na dola yatatimia tu kama walipanga miaka 10 itakuwa kama vinginevyo itakuwa pia!!

Dola Ndio KILA kitu!
 
Back
Top Bottom