Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere limepotelea wapi

Mwenyewe Magufuli asingefanya hii, watu underachievers ndio wako hivyo, kazi na idea watoe wengine wao kupora sifa tu na starehe ndio kazi yao.

Maneno meengi no substance!
Idea ya nyerere,Vita vya amini vikatibua,jakaya akaleta wabrazil kufanya upembuzi yakinifu,magu akaanza mradi,miaka minne akafanya 30%,Samia chini ya miaka miwili kafanya 50%,tunajenga nyumba moja tusigombee fito,punguza chuki na makasiriko
 
bila shaka wengi watakakuwa makada.

Ni vyema hilo bwawa kwa heshima ya JPM likapewa jina la MAGUFULI HYDRO-PLANT.
 
Idea ya nyerere,Vita vya amini vikatibua,jakaya akaleta wabrazil kufanya upembuzi yakinifu,magu akaanza mradi,miaka minne akafanya 30%,Samia chini ya miaka miwili kafanya 50%,tunajenga nyumba moja tusigombee fito,punguza chuki na makasiriko

Huu mradi ni Brainchild ya Mwalimu Nyerere na Magufuli, period!
 
Kujaza maji bado ni issue technical kwangu si vyema kujaza watu, watalaam wangeendelea na kazi yao Rais na team wasubiri wakati wa kuzindua maana itakuwa tayari tested and ready to go...
 
Sio sawa ikitokea tatizo la kiufundi inaweza sababisha maafa. Japo sio rahisi kutojea lakini kitu chochote man made lazima tahadhali ichukuliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ujazaji maji Bwawa la Nyerere wageni 2,300 kudhudhuria.
Mbona Gharama Za ugeni huu Ninaona ni kubwa sana sana.

Au bwawa hili limejengwa mjini Ili watu wahudhurie wengi kiasi hicho?

Nimeuliza tu kwa sababu kuna matukio siku hizi watu wanatumia kupigia kodi Za wananchi
Tusichokijua:
 
JNHPP ni moja ya mawazo bora kabisa ya Mwalimu Magufuli. Walamba asali na wafuasi wao ni jambo la muda tu wataanza kumkubali Magufuli.

Hata dalali Zito wa gesi simsikii siku hizi.
 
Mwenyewe Magufuli asingefanya hii, watu underachievers ndio wako hivyo, kazi na idea watoe wengine wao kupora sifa tu na starehe ndio kazi yao.

Maneno meengi no substance!
I feel you brother.
 
Mwalimu nyerere katoka madarakani 1985,magu huenda alikua chuo, inakuaje brain work ya magu na nyerere!?...unafikiri sawasawa!?...unafuatilia mambo ya nchi yako au ni mpiga mayowe tu shabiki!?

Brainwork kwa maana Mwalimu Nyerere ndiye aliyekuja na wazo idea ya kujenga hydro dram Selous Magufuli katekeleza, bora hata ungesema Mkapa ana input kwenye ideas za kujenga hilo Bwawa lkn hao wengine kwanza walilipiga vita, aliyekuwa anapiga Kampeni against hilo Bwawa ni nani kama siyo hao akina Nape & Co.?
 
Mwenyewe Magufuli asingefanya hii, watu underachievers ndio wako hivyo, kazi na idea watoe wengine wao kupora sifa tu na starehe ndio kazi yao.

Maneno meengi no substance!
Magu aliyekuwa anazindua hadi vyoo vya stendi aache kwenda hii?...Acha kamba.

Apumzike tu kwa amani huko aliko.
 
Idea ya nyerere,Vita vya amini vikatibua,jakaya akaleta wabrazil kufanya upembuzi yakinifu,magu akaanza mradi,miaka minne akafanya 30%,Samia chini ya miaka miwili kafanya 50%,tunajenga nyumba moja tusigombee fito,punguza chuki na makasiriko
Watu wapumbavu kweli aisee..

Walisema miradi mikubwa imesimama..sasa hivi wakisikia imefika 78.8 pc bado wanagwayagwaya.

Nchi hii ni yetu sote..tuseme hapana kwenye hapana na kweli kwenye kweli..Samia hapa kwenye bwawa amejitahidi..ukizingatia pia ni mradi ya hela nyingi sana
 
Najua mmeumia sana hamkutarajia angeweza!! Punguzeni chuki sukuma Gang Kila mtu anaweza fanya Kila kitu akipewa nafasi unlike mnavyoamini kuwa ni JPM pekee!!
Sukuma gang genge la wachawi. Jiwe alitutengenezea kizazi cha nyoka hapa.
 
Watu wapumbavu kweli aisee..

Walisema miradi mikubwa imesimama..sasa hivi wakisikia imefika 78.8 pc bado wanagwayagwaya.

Nchi hii ni yetu sote..tuseme hapana kwenye hapana na kweli kwenye kweli..Samia hapa kwenye bwawa amejitahidi..ukizingatia pia ni mradi ya hela nyingi sana
Hivi mbona kulikuwa hakuna hata picha ya updates ya ujenzi ukiendelea!? Ina maana alitaka kufanya suprise Kwetu!!?

Au kuna Nini kinafichwa!?

Maana mambo yalisimama tu ghafla ETI mradi upo 78% bila updates yeyote kuna Nini hapa!!?

Ninavyojua ccm ya mama inavopenda sifa lazima kungekua na mapicha kibao wakimsifu mbona kimya kimya!?

Bas Sawa,isije ikawa mradi upo chini ya kiwango!!!?
Nakumbuka walisema Muda wa mradi kukamilika imesogezwa mbele hadi 2024,Sasa sikumwelewa ni maboya au ni Nini!?

Kuna kitu halipo Sawa!

Ngoja tuone
 
Hivi mbona kulikuwa hakuna hata picha ya updates ya ujenzi ukiendelea!? Ina maana alitaka kufanya suprise Kwetu!!?

Au kuna Nini kinafichwa!?

Maana mambo yalisimama tu ghafla ETI mradi upo 78% bila updates yeyote kuna Nini hapa!!?

Ninavyojua ccm ya mama inavopenda sifa lazima kungekua na mapicha kibao wakimsifu mbona kimya kimya!?

Bas Sawa,isije ikawa mradi upo chini ya kiwango!!!?

Ngoja tuone
Yalisimama ghafla wewe ulikuwa unaenda rufiji kuangalia au?..
 
Mwenyewe Magufuli asingefanya hii, watu underachievers ndio wako hivyo, kazi na idea watoe wengine wao kupora sifa tu na starehe ndio kazi yao.

Maneno meengi no substance!
Unamzungumzia yule marehemu aliyekua anazindua viwanda mara mbilimbili na kupokea ndege mbovu au mwingine? Hakuna wa kumcheka mwenzake huko kwenye chama cha mambuzi.
 
Watu wapumbavu kweli aisee..

Walisema miradi mikubwa imesimama..sasa hivi wakisikia imefika 78.8 pc bado wanagwayagwaya.

Nchi hii ni yetu sote..tuseme hapana kwenye hapana na kweli kwenye kweli..Samia hapa kwenye bwawa amejitahidi..ukizingatia pia ni mradi ya hela nyingi sana
Kufungua na kuweka jiwe lamsingi yuko vizuri, sasa Tusubiri huo umeme wa hilo bwawa ni mwaka 2027
 
Back
Top Bottom