Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Mkuu unakumbuka Bungeni walisema cranes imechelewa mara imesogezwa mbele Muda wa kukamilika kwake!Yalisimama ghafla wewe ulikuwa unaenda rufiji kuangalia au?..
Halafu ULIKUWA hauzungumziwi kama unaendelewa kujengwa bila updates yoyote hadi wabunge wakaanza kuhoji!!?
Hatukuona hata mwenezi akienda kukagua mradi huo,tangu jk na Mwinyi walipozuru eneo la mradi huo mwanzoni kabisa wa utawala wa samiah!!!
YOTE kheri!