Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere limepotelea wapi

Historia inaandikwa. Tumeahidi, Tumetekeleza.
 
Sasa maji yakipungua hatutakua na mgao tena?
 
SEMA mgeni rasmi wa kuwasha kitufe ni Rais Dk Samia naona unazunguka zunguka tuu 👇
 
Chamsingi wajaze..tumechoka na ngojera.

Kifuatacho tu atazamia umeme wa uhakika wa bei nafuu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sawa

Waahidi pia Kuwa mgao wa Umeme utakuwa historia!

Sio wanajaza maji tu halafu mambo ya Umeme kuzima kama kibatari yanabaki pale pale!
Najua mmeumia sana hamkutarajia angeweza!! Punguzeni chuki sukuma Gang Kila mtu anaweza fanya Kila kitu akipewa nafasi unlike mnavyoamini kuwa ni JPM pekee!!
 

Idiotic decision as usual
 
Halafu tunaambiwa tozo ni lazima.
Lakini kubana matumizi hawataki.
Kila kukicha shughuli na tafrija!
Bi tozo keshanichosha, basi tu!
 
Najua mmeumia sana hamkutarajia angeweza!! Punguzeni chuki sukuma Gang Kila mtu anaweza fanya Kila kitu akipewa nafasi unlike mnavyoamini kuwa ni JPM pekee!!
Wewe na ACT yenu si mnalambishwa asali Ndio MAANA!!?

Hatupingi juhudi za maendeleo,tunataka mambo yafanyike kwa speed!

Yaliyopangwa na dola yatatimia tu kama walipanga miaka 10 itakuwa kama vinginevyo itakuwa pia!!

Dola Ndio KILA kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…