inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Idea ya nyerere,Vita vya amini vikatibua,jakaya akaleta wabrazil kufanya upembuzi yakinifu,magu akaanza mradi,miaka minne akafanya 30%,Samia chini ya miaka miwili kafanya 50%,tunajenga nyumba moja tusigombee fito,punguza chuki na makasirikoMwenyewe Magufuli asingefanya hii, watu underachievers ndio wako hivyo, kazi na idea watoe wengine wao kupora sifa tu na starehe ndio kazi yao.
Maneno meengi no substance!
Idea ya nyerere,Vita vya amini vikatibua,jakaya akaleta wabrazil kufanya upembuzi yakinifu,magu akaanza mradi,miaka minne akafanya 30%,Samia chini ya miaka miwili kafanya 50%,tunajenga nyumba moja tusigombee fito,punguza chuki na makasiriko
Mwalimu nyerere katoka madarakani 1985,magu huenda alikua chuo, inakuaje brain work ya magu na nyerere!?...unafikiri sawasawa!?...unafuatilia mambo ya nchi yako au ni mpiga mayowe tu shabiki!?Huu mradi ni brain work ya Mwalimu Nyerere na Magufuli, period!
Tusichokijua:ujazaji maji Bwawa la Nyerere wageni 2,300 kudhudhuria.
Mbona Gharama Za ugeni huu Ninaona ni kubwa sana sana.
Au bwawa hili limejengwa mjini Ili watu wahudhurie wengi kiasi hicho?
Nimeuliza tu kwa sababu kuna matukio siku hizi watu wanatumia kupigia kodi Za wananchi
Safety factor ya 0.5 ilitumika wakati wa ujenziSio sawa ikitokea tatizo la kiufundi inaweza sababisha maafa. Japo sio rahisi kutojea lakini kitu chochote man made lazima tahadhali ichukuliwe
Sent using Jamii Forums mobile app
I feel you brother.Mwenyewe Magufuli asingefanya hii, watu underachievers ndio wako hivyo, kazi na idea watoe wengine wao kupora sifa tu na starehe ndio kazi yao.
Maneno meengi no substance!
Mwalimu nyerere katoka madarakani 1985,magu huenda alikua chuo, inakuaje brain work ya magu na nyerere!?...unafikiri sawasawa!?...unafuatilia mambo ya nchi yako au ni mpiga mayowe tu shabiki!?
Magu aliyekuwa anazindua hadi vyoo vya stendi aache kwenda hii?...Acha kamba.Mwenyewe Magufuli asingefanya hii, watu underachievers ndio wako hivyo, kazi na idea watoe wengine wao kupora sifa tu na starehe ndio kazi yao.
Maneno meengi no substance!
Watu wapumbavu kweli aisee..Idea ya nyerere,Vita vya amini vikatibua,jakaya akaleta wabrazil kufanya upembuzi yakinifu,magu akaanza mradi,miaka minne akafanya 30%,Samia chini ya miaka miwili kafanya 50%,tunajenga nyumba moja tusigombee fito,punguza chuki na makasiriko
Sukuma gang genge la wachawi. Jiwe alitutengenezea kizazi cha nyoka hapa.Najua mmeumia sana hamkutarajia angeweza!! Punguzeni chuki sukuma Gang Kila mtu anaweza fanya Kila kitu akipewa nafasi unlike mnavyoamini kuwa ni JPM pekee!!
Hivi mbona kulikuwa hakuna hata picha ya updates ya ujenzi ukiendelea!? Ina maana alitaka kufanya suprise Kwetu!!?Watu wapumbavu kweli aisee..
Walisema miradi mikubwa imesimama..sasa hivi wakisikia imefika 78.8 pc bado wanagwayagwaya.
Nchi hii ni yetu sote..tuseme hapana kwenye hapana na kweli kwenye kweli..Samia hapa kwenye bwawa amejitahidi..ukizingatia pia ni mradi ya hela nyingi sana
Yalisimama ghafla wewe ulikuwa unaenda rufiji kuangalia au?..Hivi mbona kulikuwa hakuna hata picha ya updates ya ujenzi ukiendelea!? Ina maana alitaka kufanya suprise Kwetu!!?
Au kuna Nini kinafichwa!?
Maana mambo yalisimama tu ghafla ETI mradi upo 78% bila updates yeyote kuna Nini hapa!!?
Ninavyojua ccm ya mama inavopenda sifa lazima kungekua na mapicha kibao wakimsifu mbona kimya kimya!?
Bas Sawa,isije ikawa mradi upo chini ya kiwango!!!?
Ngoja tuone
Unamzungumzia yule marehemu aliyekua anazindua viwanda mara mbilimbili na kupokea ndege mbovu au mwingine? Hakuna wa kumcheka mwenzake huko kwenye chama cha mambuzi.Mwenyewe Magufuli asingefanya hii, watu underachievers ndio wako hivyo, kazi na idea watoe wengine wao kupora sifa tu na starehe ndio kazi yao.
Maneno meengi no substance!
Kufungua na kuweka jiwe lamsingi yuko vizuri, sasa Tusubiri huo umeme wa hilo bwawa ni mwaka 2027Watu wapumbavu kweli aisee..
Walisema miradi mikubwa imesimama..sasa hivi wakisikia imefika 78.8 pc bado wanagwayagwaya.
Nchi hii ni yetu sote..tuseme hapana kwenye hapana na kweli kwenye kweli..Samia hapa kwenye bwawa amejitahidi..ukizingatia pia ni mradi ya hela nyingi sana