Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Mkuu unakumbuka Bungeni walisema cranes imechelewa mara imesogezwa mbele Muda wa kukamilika kwake!Yalisimama ghafla wewe ulikuwa unaenda rufiji kuangalia au?..
Acheni utoto kwenye mambo ya kawaida.Unaumia nin?
Chamsingi wajaze..tumechoka na ngojera.
Kifuatacho tu atazamia umeme wa uhakika wa bei nafuu.
#MaendeleoHayanaChama
Idea hakutoa magu acha uongo juu mradi ulifikiriwa toka 1953 na mwaka 1972 ndio ulijadiliwa kwa mara ya kwanza na cabinet ya mwalimu.Mwenyewe Magufuli asingefanya hii, watu underachievers ndio wako hivyo, kazi na idea watoe wengine wao kupora sifa tu na starehe ndio kazi yao.
Maneno meengi no substance!
Mkapa hakuwa na input yoyote kwenye Hilo bwawa bwana mdogo,yeye aliwaleta net group solutions kusimamia mabwawa yetu,mkapa kwenye umeme ni songas na gesi ya mtwara,Kama taarifa huna,hukuwa na ufahamu kipindi haya mambo yanafanyika huko nyuma basi walau google, keywords kikwete Brazil stiglers gorge...utapatapata madiniBrainwork kwa maana Mwalimu Nyerere ndiye aliyekuja na wazo idea ya kujenga hydro dram Selous Magufuli katekeleza, bora hata ungesema Mkapa ana input kwenye ideas za kujenga hilo Bwawa lkn hao wengine kwanza walilipiga vita, aliyekuwa anapiga Kampeni against hilo Bwawa ni nani kama siyo hao akina Nape & Co.?
Magufuli yule yule aliekua anazindua mpaka tawi la benki?Mwenyewe Magufuli asingefanya hii, watu underachievers ndio wako hivyo, kazi na idea watoe wengine wao kupora sifa tu na starehe ndio kazi yao.
Maneno meengi no substance!
Sasa kusema mradi upo 78% si ndo update yenyewe iyo au wewe ulikua unaenda eneo la tukio na kuona mambo yamesimama hakuna kinachoendelea? Na pia inawezekana ikawa kweli kukamilika ni mpaka 2024 kumbuka kinachofanyika hapa ni ujazaji wa maji ambao inawezakana ukachukua hata mwaka mzima maana zinahitajika lita bilion kadhaa hapo kwaiyo techinical bado mradi haujakamilikaHivi mbona kulikuwa hakuna hata picha ya updates ya ujenzi ukiendelea!? Ina maana alitaka kufanya suprise Kwetu!!?
Au kuna Nini kinafichwa!?
Maana mambo yalisimama tu ghafla ETI mradi upo 78% bila updates yeyote kuna Nini hapa!!?
Ninavyojua ccm ya mama inavopenda sifa lazima kungekua na mapicha kibao wakimsifu mbona kimya kimya!?
Bas Sawa,isije ikawa mradi upo chini ya kiwango!!!?
Nakumbuka walisema Muda wa mradi kukamilika imesogezwa mbele hadi 2024,Sasa sikumwelewa ni maboya au ni Nini!?
Kuna kitu halipo Sawa!
Ngoja tuone
Kwani ni lini maana wiki iliyopita walisema itakuwa Dec 15 naona kimya au ni mpaka January?ujazaji maji Bwawa la Nyerere wageni 2,300 kudhudhuria.
Mbona Gharama Za ugeni huu Ninaona ni kubwa sana sana.
Au bwawa hili limejengwa mjini Ili watu wahudhurie wengi kiasi hicho?
Nimeuliza tu kwa sababu kuna matukio siku hizi watu wanatumia kupigia kodi Za wananchi
Kuruhusu maji kujaa kwenye shimo na geti la kuzuia maji hivi navyo tunaambiwa ni historia so lazima watu washuhudie so you don't see one of movies!.Kwanini umesema nchi haiishiwi vituko?
Mkuu kuna wakati tunampa mtu sifa kwa lazima why?.Najua mmeumia sana hamkutarajia angeweza!! Punguzeni chuki sukuma Gang Kila mtu anaweza fanya Kila kitu akipewa nafasi unlike mnavyoamini kuwa ni JPM pekee!!
Wanamtafutia kona ya lawama, kwanini wazibe handaki kwa kitufe badala ya kuziba kwa zege kabisa,Kuanzia hapo sasa inakuwa ni rasmi maji yataanza kujaa kwenye bwawa hilo na soon JPM (hayupo) ila anakuwa kafanikisha adhima ya Tanzania bila giza inawezekana.
Hao wapuuzi wa ufipa watajifanya kususa.CHADEMA karibuni kwenye uzinduzi
Inawezekana wewe haukuwepo Dunia hii wakati wa Magufuli. Magufuli huyuhuyu aliyekuwa akizindua miradi iliyokwishazinduliwa au mwingine ambaye asingezindua mradi huu?Mwenyewe Magufuli asingefanya hii, watu underachievers ndio wako hivyo, kazi na idea watoe wengine wao kupora sifa tu na starehe ndio kazi yao.
Maneno meengi no substance!
Yeye ndiye aliyeuweka kwenye Ilani 2015? Aliyefanya upembuzi yakinifu no nani? Aliyeanza kujenga nani? Aliyekamilisha nani? Ndio maana halisi ya kujenga nyumba moja.JNHPP ni moja ya mawazo bora kabisa ya Mwalimu Magufuli. Walamba asali na wafuasi wao ni jambo la muda tu wataanza kumkubali Magufuli.
Hata dalali Zito wa gesi simsikii siku hizi.