Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
View attachment 3167723
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"
watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!
Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!
Kule tutatumia Kimatumbi na Kindengereko.Kiarabu ni lugha, sio kila anaye ongea kiarabu ni mwarabu.
Kiarabu ndio lugha itatumiwa kwa Mungu utake usitake.
Tulia wewe. Kwanza ondoa picha ya hilo jamaa jeusi linalocheka hovyo kwenye hiyo profile yako😉😂😁Oyaa ondoa hiyo picha ya mwamba AN kwenye profile yako. Huna haki kuiweka hapo. Faster ondoa 😡😡😡😡
Mbona nyie wenyewe watanzania thanani yenu hamuijuhi reference eg Abdul nondo Ben saa8 mzee kibao mbona ukemei ila mambo ya meddle East tu sio foolishWatanzania bado tuna maumivu mabichi ya vijana wetu wawili kuuawa na Magaidi wa Hamas alafu wewe unakuja kuandika nini hiki ?
Hao wapalestina lengo lao ni moja tu, From the riber to the sea, Kuifuta Israel na kuua watu wote ndani yake (wakiwemo waarabu wenzao), Huu kama sio ushenzi ni nini ?
akamatwe anaejibu mapigob? kwann wasikamatwe viongoz wa HamasFoolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough.
Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed.
Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
hiyo Gaza yako ilithamin mateka kuliko amani yaoKipi ambacho Marekani na Ulaya hawajafanya kwenye mauaji ya Gaza.
Marekani na Ulaya wamepeleka silaha za kila aina na kuuwa watoto zaidi ya 16.000 wengine wanazidi kunyomwa moto.
Trump, anaropoka tu hana kipya ambacho atapata yaani Hamas wajisalimoshe kwa Trump si bora wafe wote pamoja na mateka.
PRAISE TO JESUS shirikiana na MJUMBE WA YESU NETANYAHU kuokoa watu ISRAELView attachment 3167723
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"
watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!
Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!
A father of all fools.Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough.
Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed.
Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Nchi nyingi zimeisha msoma Trump ni vitisho bila action. Iran alimsambaratishs kwenye base yao kule Iraq inaitwa Ain Al Asad na hakufanya lolote.Kipi ambacho Marekani na Ulaya hawajafanya kwenye mauaji ya Gaza.
Marekani na Ulaya wamepeleka silaha za kila aina na kuuwa watoto zaidi ya 16.000 wengine wanazidi kunyomwa moto.
Trump, anaropoka tu hana kipya ambacho atapata yaani Hamas wajisalimoshe kwa Trump si bora wafe wote pamoja na mateka.
Oxymoron Tena?Do you know what you are blabbing about? Which country if the so-called Israel is an oxymoron of european colonialism?
Na kweli, ni mpumbavu tu anaeamini amani itapatikana kwa mtutuFoolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough.
Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed.
Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Uko sahihi kabisa netanyahu Yuko sawaNetanyahu hana kosa lolote ndio maana hata Ufaransa wamefuta maamuzi ya kumkamata.
Netanyahu ana kila haki ya kuilinda nchi yake dhidi ya washenzi walioua watu 1,200 kwa siku moja akiwemo Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel (apumzike kwa amani ), piga hesabu kwa mwaka mzima (siku 365) Israel ingekaa kimya wangeuliwa wangapi