Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

View attachment 3167723
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"

watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!

Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!

Kuna siku watu watafunguka macho na kujua ukweli kuwa;
vita vinavyoendelea masharaki ya kati miaka na miaka na propaganda zoooote zinatengenezwa kwa madhumuni ya kupunguza nguvu au kusambaratisha imani flani...
Ndio sababu mimi husema mara kwa mara kuwa; Siku za mwisho zitakuwa ngumu sana!!!!
 
Oyaa ondoa hiyo picha ya mwamba AN kwenye profile yako. Huna haki kuiweka hapo. Faster ondoa 😡😡😡😡
Tulia wewe. Kwanza ondoa picha ya hilo jamaa jeusi linalocheka hovyo kwenye hiyo profile yako😉😂😁

Mzukah!
 
Kipi ambacho Marekani na Ulaya hawajafanya kwenye mauaji ya Gaza.

Marekani na Ulaya wamepeleka silaha za kila aina na kuuwa watoto zaidi ya 16.000 wengine wanazidi kunyomwa moto.

Trump, anaropoka tu hana kipya ambacho atapata yaani Hamas wajisalimoshe kwa Trump si bora wafe wote pamoja na mateka.
 
Watanzania bado tuna maumivu mabichi ya vijana wetu wawili kuuawa na Magaidi wa Hamas alafu wewe unakuja kuandika nini hiki ?

Hao wapalestina lengo lao ni moja tu, From the riber to the sea, Kuifuta Israel na kuua watu wote ndani yake (wakiwemo waarabu wenzao), Huu kama sio ushenzi ni nini ?
Mbona nyie wenyewe watanzania thanani yenu hamuijuhi reference eg Abdul nondo Ben saa8 mzee kibao mbona ukemei ila mambo ya meddle East tu sio foolish
 
Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough.

Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed.

Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
akamatwe anaejibu mapigob? kwann wasikamatwe viongoz wa Hamas
 
Kipi ambacho Marekani na Ulaya hawajafanya kwenye mauaji ya Gaza.

Marekani na Ulaya wamepeleka silaha za kila aina na kuuwa watoto zaidi ya 16.000 wengine wanazidi kunyomwa moto.

Trump, anaropoka tu hana kipya ambacho atapata yaani Hamas wajisalimoshe kwa Trump si bora wafe wote pamoja na mateka.
hiyo Gaza yako ilithamin mateka kuliko amani yao
 
View attachment 3167723
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"

watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!

Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!

PRAISE TO JESUS shirikiana na MJUMBE WA YESU NETANYAHU kuokoa watu ISRAEL
 
Kipi ambacho Marekani na Ulaya hawajafanya kwenye mauaji ya Gaza.

Marekani na Ulaya wamepeleka silaha za kila aina na kuuwa watoto zaidi ya 16.000 wengine wanazidi kunyomwa moto.

Trump, anaropoka tu hana kipya ambacho atapata yaani Hamas wajisalimoshe kwa Trump si bora wafe wote pamoja na mateka.
Nchi nyingi zimeisha msoma Trump ni vitisho bila action. Iran alimsambaratishs kwenye base yao kule Iraq inaitwa Ain Al Asad na hakufanya lolote.
 
Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough.

Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed.

Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Na kweli, ni mpumbavu tu anaeamini amani itapatikana kwa mtutu
 
Netanyahu hana kosa lolote ndio maana hata Ufaransa wamefuta maamuzi ya kumkamata.

Netanyahu ana kila haki ya kuilinda nchi yake dhidi ya washenzi walioua watu 1,200 kwa siku moja akiwemo Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel (apumzike kwa amani ), piga hesabu kwa mwaka mzima (siku 365) Israel ingekaa kimya wangeuliwa wangapi
Uko sahihi kabisa netanyahu Yuko sawa
 
Back
Top Bottom